MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wewe ni chawa wa Gigy?Ila kwani hizo app zinasambaza hizo picha,??? shida ni kwanini sisi binafsi tunasambaza maudhui ambayo yanamkandamiza na kumuumiza mwingine, Labda konection ya gigy ni kitu moja wapo, Je, wanaotukanana mtandaoni na kusambaza umbea wa kashfa mtaondaoni?
Si muongelei Gigy yeye katumika kama mfano, ila unafahamu unyanyasaji wa mtaandaoni?Wewe ni chawa wa Gigy?
Wewe hata ukieleweshwa hutaelewa. Mwambie boss wako Gigy aache ushenzi.Si muongelei Gigy yeye katumika kama mfano, ila unafahamu unyanyasaji wa mtaandaoni?
kwani wewe una picha za hivo?Naona tumefanya unyanyasaji wa mtandaoni uonekane kama kitu cha kawaida bila kujali kwa kufanya hivyo tunaweza kuharibu maisha ya watu wengi sana, kwasababu unyanyasaji au bullying kwa kimombo inaathiri sana afya za akili za watu...
Kwa upande mmoja nakuunga mkono kwenye hili hasa kwa wale ambao unakuta pengine ni mtaani limemkuta jambo watu wakarekodi hapo nipo na wewe kwa asilimia 100. Tatizo linakuja kwa hawa sawa ndugu zetu wasanii tena kibaya zaidi wapo ndani, hiyo rekodi walifanya hivo kwa sababu zipi?Naona tumefanya unyanyasaji wa mtandaoni uonekane kama kitu cha kawaida bila kujali kwa kufanya hivyo tunaweza kuharibu maisha ya watu wengi sana, kwasababu unyanyasaji au bullying kwa kimombo inaathiri sana afya za akili za watu...
tafuta hela mkuu. wanaopiga hizo picha wananufaika ,ulishaona wakilalamika?Ni kosa kubwa sana kujirecord ni kweli, ila shida yangu hapa ni kuonesha kuwa kusambaza hizi video zaidi ni kosa kubwa zaidi
Dooh ninaowaonea huruma ni mke na watoto wako watarajiwa kuwa na mume na baba kilaza kama weweWasanii wengi ni members wa freemason kule Kuna kitu inaitwa humiliation ritual yaani kutoa kaffara ya kufanya jambo litakalokuumiza ili shetani afurahi.
Kwa wanaume uliwa ndogo ndo maana ya nembo ya jicho,kwa wanawake ujifanya video picha zimevuja
Hasa umkute mwenyewe ana tako!!Mwanamke akiwa mpenzi wako usiku ukichat ukimuomba akurushie alivyo anakurushia akili zao wanazijua wenyewe
Wanasema "there is no such thing as bad publicity"Kwa upande mmoja nakuunga mkono kwenye hili hasa kwa wale ambao unakuta pengine ni mtaani limemkuta jambo watu wakarekodi hapo nipo na wewe kwa asilimia 100. Tatizo linakuja kwa hawa sawa ndugu zetu wasanii tena kibaya zaidi wapo ndani , hiyo rekodi walifanya hivo kwa sababu zipi? Rekodi maana yake ni kuweka kumbukumbu ili ambaye hakuwepo eneo husika aweze kuona au kuapata habari flani. Inasikitisha sana hawa ndugu zetu wao wanaona ni kama kujipaisha kisanii sijui jina kumbe wanajiharibia kimaisha na sifa katika jamii. Labda nikuulize kidogo kuhusu Giggy je ni yeye wa kwanza tukio hilo limetokea? Hapana sasa huoni ni kwamba wao wenyewe ndiyo wanavyotaka? Kuna msanii mmoja huwa napenda sana nyimbo zake japo siyo shabiki wake nampongeza sana. huwezi kukuta hata siku mmoja anajisifia mitandaoni kama anahiki wala kile au kashfa kama za kuwa na warembo au starehe . Ali Kiba. Ni kwamba naweza msifia kwa kuwa kalitambua hilo hata kama anamakando kando yake lakini amekwepa mitandao ya kijamii. Hawa wengine unakuta mtu mwenyewe hujipost ndiyo garama yake hiyo kusambazwa aka connection.
Hakuna mtuvwa kukutunzia Privacy yako, ni jukumu lako mwenyewe.Naona tumefanya unyanyasaji wa mtandaoni uonekane kama kitu cha kawaida bila kujali kwa kufanya hivyo tunaweza kuharibu maisha ya watu wengi sana, kwasababu unyanyasaji au bullying kwa kimombo inaathiri sana afya za akili za watu.
Siku hizi mambo mengi yapo hadharani na yanaelezewa kwa upana na urefu, Matatizo ya Afya ya Akili iwemo. Ni dhahiri kuwa haya mambo yanaweza muumiza mtu katika fikra yake na kusababisha msongo wa mawazo ambapo unaweza kuharibu mfumo wa maisha ya mtu au mbaya zaidi ukaharibu maisha ya mtu kimoja kuanzia kazini, chuoni, shuleni na hata nyumbani.
Mitandaoni ni moja ya sehemu ambayo tunafanyiana unyanyasaji mkubwa sana, tunatukana na comments za kutisha.
Chukulia mfano Mange alivyopost connection ya Gigy, tukumbuke ni jambo la faragha, halituhusu, yeye kupost na sisi kuendelea kusambaza na kushadadia huku tukituna kwa maneno ya kashfa tayari ni kosa na sio uungwana.
Ni kwasababu hatujiweki katika viatu vyao ndio maana tunaona sawa tu kuendeleza jambo hili, lakini fikiria mtu wako wa karibu leo, mama yako, dada yako au wewe mwenyewe unapatwa na jambo hili utaweza kuhimili manyanyaso na masimango yanayokuja kwako? Sasa kwanini tunaendelea kuwa sehemu ya watu wanaendeleza ukatili huu dhidi ya waathirika hawa?
Tubadilike, jamii bora inaanza kujengwa na wewe.
🤣🤣🤣Ukiwa chumbani simu weka chaji acha kujirecord na vuzi zako moja moja
Ushatoa kafara ya jicho niniDooh ninaowaonea huruma ni mke na watoto wako watarajiwa kuwa na mume na baba kilaza kama wewe
Wengi hawajuiNi kosa kubwa sana kujirecord ni kweli, ila shida yangu hapa ni kuonesha kuwa kusambaza hizi video zaidi ni kosa kubwa zaidi