GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwani Hadi anateuliwa mara ya kwanza alikuwa Timu nani? Kwa hiyo wengine wote waliosalia ni Timu nani?Kama kachoka kweli mbona hajasema kuwa Kachoka kuwa Mbunge huko aliko na bado tena mwakani anagombea? Na hili ndilo limekuwa tatizo lenu wana CCM japo Mimi si Mwanachama wenu ila ni Shabiki yenu ni kwamba mnapenda na sijui kwanini kudhani kuwa Watanzania wote hatuna Akili na hatujui mambo.
Sisi watz tunaakili mkuu na tunajua na hilo tunajua!!Kama kachoka kweli mbona hajasema kuwa Kachoka kuwa Mbunge huko aliko na bado tena mwakani anagombea? Na hili ndilo limekuwa tatizo lenu wana CCM japo Mimi si Mwanachama wenu ila ni Shabiki yenu ni kwamba mnapenda na sijui kwanini kudhani kuwa Watanzania wote hatuna Akili na hatujui mambo.
Pray for Him#Note this..Mpango ana mipango ya kujipanga na mapunziko ya uzeeni
Tunamshukuru kwa utumishi wake
Mwenyezi Mungu aendelee kumpa afya njema