fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Ifikie kipindi waafrika tufanye vitu kutokana na mazingira yetu yanayotuzunguka na si kugeza kinachofanywa na wazungu kutokana na mazingira yao. Mimi binafsi nawatakia Christmass njema ndugu zangu na huu ndo mti nikiowatumia, unapatikana hapa hapa Tanzania