Na kwa kiswazi?Yanaitwa Plum kwa Lungha ya malkia Elizabeth.
Mkuu haya sio plum fruits bali ni jamii ya matunda flani hivi yapatikanayo katika sehemu zenye rutuba nyingi na mvua za kutosha through out the year. Najaribu kukumbuka its scientific name silipati ila soon nitakujulisha na kuyaelezea vizuri zaidi.Yanaitwa Plum kwa Lungha ya malkia Elizabeth.