Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 350
duh...wewe huoi basi(nimepiga hodi kule sebuleni). Wana JF leo nataka niwakumbushe wale wanaotazama makabila wakati wa kuoa. Hivi ni sahihi kuhukumu kabila zima? Mfano nimewahi kuambiwa mara kadhaa kuwa wanawake wa kichaga, kipare,kinyakyusa usioe ni wauaji wa mume mkishafanikiwa kama ilivyo kwa wazaramo, wadigo,wasambaana wabondei ambao huambiwa ni wavivu. Wahaya hushutumiwa kwa kale katabia ka kutoka nje ya ndoa. Je ni sahihi kuhukumu kabila? Mi nadhani si sahihi kwa vile tabia mbaya ni silika ya mtu huzaliwa nayo na kukuzwa nayo si kabila. Je mwana JF unasemaje?
(nimepiga hodi kule sebuleni). Wana JF leo nataka niwakumbushe wale wanaotazama makabila wakati wa kuoa. Hivi ni sahihi kuhukumu kabila zima? Mfano nimewahi kuambiwa mara kadhaa kuwa wanawake wa kichaga, kipare,kinyakyusa usioe ni wauaji wa mume mkishafanikiwa kama ilivyo kwa wazaramo, wadigo,wasambaana wabondei ambao huambiwa ni wavivu. Wahaya hushutumiwa kwa kale katabia ka kutoka nje ya ndoa. Je ni sahihi kuhukumu kabila? Mi nadhani si sahihi kwa vile tabia mbaya ni silika ya mtu huzaliwa nayo na kukuzwa nayo si kabila. Je mwana JF unasemaje?
Sio sahihi kuhukumu kabila zima lakini kuna uhusiano fulani wa kitabia kati ya kabila lako, sehemu uliyokulia/uliyoishi na tabia zako. Kumbuka mtoto anajifunza mambo mengi kupitia kwa wazazi wake na watu wa karibu waliomzunguka, iwe ni tabia nzuri au tabia mbaya. Hali kadhalika na wazazi walijifunza pia kupitia kwa wazazi wao. Kwa bahati mbaya mara nyingi tabia za kabila fulani unapozitaja utapingwa sana na wahusika pale zitakapokuwa na sifa mbaya na utapata support za wahusika pale zitakapokuwa na sifa nzuri. Kwa mfano ukisema kabila fulani wanajua sana kutafuta pesa utapata support japokuwa ukweli unabaki kuwa ni wengi wao na si wote ila unaposema kabila hilo hilo hawajui mapenzi unapingwa. Ukweli unabaki kwamba kuna baadhi ya tabia nzuri au mbaya tumezirithi kutoka kwenye mila na desturi za makabila yetu.
afu me natamani kulia hasa WaMACHAME wanaonewa sn ktk hlo! Wangekuwa wanaua waume wangekuwa wajane wote bhana!(nimepiga hodi kule sebuleni). Wana JF leo nataka niwakumbushe wale wanaotazama makabila wakati wa kuoa. Hivi ni sahihi kuhukumu kabila zima? Mfano nimewahi kuambiwa mara kadhaa kuwa wanawake wa kichaga, kipare,kinyakyusa usioe ni wauaji wa mume mkishafanikiwa kama ilivyo kwa wazaramo, wadigo,wasambaana wabondei ambao huambiwa ni wavivu. Wahaya hushutumiwa kwa kale katabia ka kutoka nje ya ndoa. Je ni sahihi kuhukumu kabila? Mi nadhani si sahihi kwa vile tabia mbaya ni silika ya mtu huzaliwa nayo na kukuzwa nayo si kabila. Je mwana JF unasemaje?
umesema kweli mkuu...hakuna kitu kama tabia ya kabila fulani.