Tusiichukie Tanzania bali tuwachukie viongzozi wake:Hebu tafuta hii report uisome

Tusiichukie Tanzania bali tuwachukie viongzozi wake:Hebu tafuta hii report uisome

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
848
Reaction score
191
Utafiti uliopelekea kuandaliwa kwa hii report umefanywa katika sekta ya madini tu.Unajua kuna vitu vingine vinafanywa yaani unaweza tamani kuangua kilio kama siyo kudondosha chozi kwa kujisikia uchungu.Nafikiri wengi wa viongozi wetu wanafanya kazi kwa kutegemea nguvu za giza na ndiyo maana kwenye kila kitu hali ni mbaya mpaka unashangaa kuliko?!
 

Attachments

  • RYM.jpg
    RYM.jpg
    24.9 KB · Views: 57
Sasa si uiweke tu hapa, hadi kila mtu aitafute??!!!! Halafu tuitafutie wapi sasa?
 
Back
Top Bottom