Tusije kulaumiana hamkupata makazi bora, Bunju beach na Mbweni ni dili wahini

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,789
Reaction score
7,181
Wapendwa wana Jf, Nnaopenda kuishi sehemu nzuri iliyopimwa isiyo na karaha za utapeli na wizi , ni bunju beach na mbweni kuna upepo usipime, sasa dawasco na tanesco anafanya kweli kutengeneza network ya kisasa, hadi Profesa Tibaijuka anaona maajabu ya mji mpya unaopiku mbezi beach na kunduch
 
Tupe contacts za kuata hivo viwanja, ila Bunju Beach sijawahi kusikia.
Sehemu gani hiyo?
 
Hata sijakuelewa lengo la kuanzisha huu uzi!! ....mhudumuuuu. ...ongeza kili nyingine mwambie na mangi anichomee frigisi kwenye foili...
 
Tupe bei za viwanja kama unajua.
 
viwanja vinaanzia mil 35 hadi 40 high density 60 hadi 70 middle density 100 hadi 150 low density

Bei zake ni kubwa sana,viwanja vya huko vilianza kuuzwa 2007 tena bei rahisi iweje bei ya chini kabisa iwe 35m? Huu ni wizi wa mchana kweupe! Nakubaliana na wewe,je lile eneo la somji mbona haendelezi kaweka tu tambaa kubwaaaa?
 
mkuu kule kumependwa ghafla kuna vifisadi vidogo vimekimbilia kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…