Tusijifanye viziwi, Manara hajakiri kosa la kutoa matusi

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Kwa kujibu wa maelezo yake, Manara kasema alikosea kujibizana na Karia (pamoja na kuwa Karia ndiye aliyemuanza). Hajakiri kumtukana Karia. Mpaka sasa hayupo aliyethibitisha matusi kutoka kwa Manara.

Hata kama tunamchukia Manara, tujaribu kusikiliza vizuri. Tusijifanye viziwi
 
Kama Issue ya GSM kupewa Kandarasi ya kutangazwa kwny Ligi kuu bila ya kulipa chochote hadi alipoamua kujitoa hadi leo hakuna hata Club moja imelalamika ndio ije kuwa issue ya Mfanyakazi wa GSM iwe issue?

GSM kajitoa mwanzoni tu w ligi lakini bado Team ziliendelea kuvaa logo ya GSM bila ya kelele hadi mwisho wa ligi

haya angefanya Yule Kanjibai bahiri asiemiliki Chawi anga la wanaharakati lingechafuka

issue ya Manara imemalizwa na Gharib

Nchi hii ukiweza kumiliki Chawa basi wee ni 'G7'
 
Sawa, ila maamuzi yatatolewa na tume ya maadili
Sawa. Lkn mtu anyejiita Bin Kazumari anamkosea sana Haji Manara. Aliutangazia umma kuwa Haji kamtukana Karia. Lkn hadi leo hajathibitisha. Kujibizana sio kutukanana
 
Ndio maana nasema Manara ana akili sana yule Jamaa.

Huu ni mtego kwa kamati ya maadili.
 
Sawa. Lkn mtu anyejiita Bin Kazumari anamkosea sana Haji Manara. Aliutangazia umma kuwa Haji kamtukana Karia. Lkn hadi leo hajathibitisha. Kujibizana sio kutukanana
Kwa hiyo hilo shauri limefunguliwa kutokana na ushahidi wa KAZUMARI?
 
Sawa. Lkn mtu anyejiita Bin Kazumari anamkosea sana Haji Manara. Aliutangazia umma kuwa Haji kamtukana Karia. Lkn hadi leo hajathibitisha. Kujibizana sio kutukanana
Bin kazumari ndio mwandishi pekee WA mpira asieogopa mtu, ndio mana wakati wengine wameufyata yeye peke yake ndio kasimama,
 
Kamati ya maadili itachakata na mwisho wa siku muhusika atapata anachostahili kisha aite tena press ya kutia huruma.
 
Kwa hiyo hilo shauri limefunguliwa kutokana na ushahidi wa KAZUMARI?
Kazumari kashikilia hoja yake kuwa Manara alitoa matusi. Lkn hajathibitisha hadi leo. Kwani kila aombaye msamaha ametukana?
 
Sawa. Lkn mtu anyejiita Bin Kazumari anamkosea sana Haji Manara. Aliutangazia umma kuwa Haji kamtukana Karia. Lkn hadi leo hajathibitisha. Kujibizana sio kutukanana
Sasa aliomba radhi kwa kosa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…