Kwema Wakuu!
Leo sina mengi ya kusema,
Mada tajwa hapo yahusika.
Akili ni jua
Elimu ni mwezi.
Jua Kwa 90% ni kitovu cha uhai WA viumbe.
Wenye Elimu msijisahau, Elimu sio Akili.
Elimu haizai Akili isipokuwa Akili ndio inazaa Elimu.
Elimu ni Kama mwezi, unasharabu mwanga kutoka kwenye Jua/Akili.
Mtu anaweza akaishi pasipo Elimu, Kama vile maisha yanaweza kuendelea pasipo na mwezi.
Lakini kamwe mtu hawezi ishi pasipo Akili.
Niwatakie jioni njema.
Leo nipo Mlimani City, aliyekaribu anaweza ni-join tufurahi pamoja.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Mlimani City, DAR ES SALAAM