Tusijishushe, ni Makamu wa Rais Philipo Mpango ndiye aje kumpokea Makamu wa Rais Haris Kamala

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
Sisi ni Taifa huru na kubwa kiuchumi na kijeshi ndio maana tumesaidia nchi kama Uturuki na Malawi. Kwa heshima hiyo napendekeza ni Philipo Mpango (Makamu wa Rais) ndiye hadhi ya mwanamsma hiyo na SI Rais Samia Suluhu Hassan.
 
Hakika
FsIOeS8XgAACtwp.jpeg
 
Thubutuuu 🤣maza kashaandaliwa na presidential suits za tukio hilo 😅 karibu Kamala Tanzania🙏
 
Sisi ni Taifa huru na kubwa kiuchumi na kijeshi ndio maana tumesaidia nchi kama Uturuki na Malawi. Kwa heshima hiyo napendekeza ni Philipo Mpango (Makamu wa Rais) ndiye hadhi ya mwanamsma hiyo na SI Rais Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Afrika ki hadhi ni sawa na waziri mdogo anayeshulikia Afrika pale Marekani
 
Chifu hangaya hawezi kukubali wee. Apigwe bao kama alivyopigwa na liberata mulamula.
 
Sisi ni Taifa huru na kubwa kiuchumi na kijeshi ndio maana tumesaidia nchi kama Uturuki na Malawi. Kwa heshima hiyo napendekeza ni Philipo Mpango (Makamu wa Rais) ndiye hadhi ya mwanamsma hiyo na SI Rais Samia Suluhu Hassan.
Juzi tumegawa chakula cha watoto wetu kwa waturuki na wamalawi. Bado hatujafika tuendelee kuwa wapole.
 
Sisi ni Taifa huru na kubwa kiuchumi na kijeshi ndio maana tumesaidia nchi kama Uturuki na Malawi. Kwa heshima hiyo napendekeza ni Philipo Mpango (Makamu wa Rais) ndiye hadhi ya mwanamsma hiyo na SI Rais Samia Suluhu Hassan.
Yule Bibi ata ukimwita kwenye uzinduzi wa Bendi ya Taarabu lazima atimbe,hawezi kumuachia Mpango!
 
Siku hiyo, nchi nzima itahamia uwanja wa ndege. Viongozi wote wa danganyika watajipanga mstari hapo. Vyawa wote wa mama yenu watakuwepo. Mburula zote za Lumumba zitakua hapo!

Ofisi za umma zitabaki tupu!

Polisi na walinzi wetu watasimama mbali sana, na kupangwa kama wanafunzi mbele ya wale jamaa wa CIA na secret service.

Watanzania watalamba viatu vya beberu na kuimba mapambio. Hakika, itakua aibu kuu kwa watanzania wachache wenye akili timamu!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Yule Bibi ata ukimwita kwenye uzinduzi wa Bendi ya Taarabu lazima atimbe,hawezi kumuachia Mpango!
Bora mama kuliko lile jini jiwe. Lilikuwa linahudhuria uzinduzi wa vitu vya kijinga na lilikuwa linaongea ujinga pia
 
Mbona kuna RAIS wa nchi flani yeye alikuwa anaenda kupokea ndege lakini tulinyamaza.

Acheni wivu huo ni ugeni mkubwa sana unakuja na ni Rais pekee ndio anastahili kuongoza mapokezi hayo
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwamba umepiga kwenye mshono, ni unafiki na chuki tu vinawasumbua. Wanatupia vineno vyao wenyewe kwny huu uzi na kujifanya kucheka lakini ukiwaangalia usoni sura hazionekani kucheka......zimekarambala (kingindo)!
 
Back
Top Bottom