Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Rais wa Afrika ki hadhi ni sawa na waziri mdogo anayeshulikia Afrika pale MarekaniSisi ni Taifa huru na kubwa kiuchumi na kijeshi ndio maana tumesaidia nchi kama Uturuki na Malawi. Kwa heshima hiyo napendekeza ni Philipo Mpango (Makamu wa Rais) ndiye hadhi ya mwanamsma hiyo na SI Rais Samia Suluhu Hassan.
Juzi tumegawa chakula cha watoto wetu kwa waturuki na wamalawi. Bado hatujafika tuendelee kuwa wapole.Sisi ni Taifa huru na kubwa kiuchumi na kijeshi ndio maana tumesaidia nchi kama Uturuki na Malawi. Kwa heshima hiyo napendekeza ni Philipo Mpango (Makamu wa Rais) ndiye hadhi ya mwanamsma hiyo na SI Rais Samia Suluhu Hassan.
Dah,uyu Mjomba mbona jasho hivyo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yule Bibi ata ukimwita kwenye uzinduzi wa Bendi ya Taarabu lazima atimbe,hawezi kumuachia Mpango!Sisi ni Taifa huru na kubwa kiuchumi na kijeshi ndio maana tumesaidia nchi kama Uturuki na Malawi. Kwa heshima hiyo napendekeza ni Philipo Mpango (Makamu wa Rais) ndiye hadhi ya mwanamsma hiyo na SI Rais Samia Suluhu Hassan.
Hata uzinduzi wa disco toto we muite tu lazima atimbe.Yule Bibi ata ukimwita kwenye uzinduzi wa Bendi ya Taarabu lazima atimbe,hawezi kumuachia Mpango!
Bora mama kuliko lile jini jiwe. Lilikuwa linahudhuria uzinduzi wa vitu vya kijinga na lilikuwa linaongea ujinga piaYule Bibi ata ukimwita kwenye uzinduzi wa Bendi ya Taarabu lazima atimbe,hawezi kumuachia Mpango!
Hujafa hujaumbika.Bora mama kuliko lile jini jiwe. Lilikuwa linahudhuria uzinduzi wa vitu vya kijinga na lilikuwa linaongea ujinga pia
Kwani alikufa kwanza ndiyo akaumbika vile? Au hujui maana ya msemo huu?Hujafa hujaumbika.
🤣🤣🤣Mnaniua mbavu mie lolHata uzinduzi wa disco toto we muite tu lazima atimbe.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbona kuna RAIS wa nchi flani yeye alikuwa anaenda kupokea ndege lakini tulinyamaza.
Acheni wivu huo ni ugeni mkubwa sana unakuja na ni Rais pekee ndio anastahili kuongoza mapokezi hayo