Wachadema watakuwa wa kwanza kuhamia majukwaa mengine kama ze uchungu,n.k!Kwa maana kipondo cha uchaguzi watachokipata hawatakuwa radhi kuvumilia wenzao wakijilia bata kama afanyavyo Chidi beeenzi!

We waache wajipongeze na false hope zao. Uzuri wa hawa jamaa hawakosi nyimbo mpya, baada ya Nov 3 watakuja na kibao cha wizi wa kura.

Kama watapiga kura tatu tatu. Si hivyo katu ccm safari hii hapitihivi sisemu wana nafasi ya kushinda kwenye huu uchaguzi????
hivi sisemu wana nafasi ya kushinda kwenye huu uchaguzi????
Kuna ID zitapotea humu jamvini, sijui watu wataweka wapi sura zao!
We waache wajipongeze na false hope zao. Uzuri wa hawa jamaa hawakosi nyimbo mpya, baada ya Nov 3 watakuja na kibao cha wizi wa kura.
Kwanza napenda kufurah kwa kuona jinsi vijana walivyokuwana muamko wa kila sehemu kuataka mabadiliko tumeona mod wametuwekea jukwaa la uchaguzi ombi langu si haba kukawepo na jukwaa la baada ya uchaguzi tuangalie walioshindwa wapi wamekosea na nini kifanyike na si haba kuangalia je waliochukua nchi tutawasaidiaje kwa mapenzi ya watanzania wote na si vinginevy mwisho na penda kutoa wasaa baada ya uchaguzi tuungane kusaidia tanzania yetu uchama udini tuumalize baada ya 31 oct
kila la kheri kama umejiandikisha
Kanda2,
Hivi hicho kibao cha 'wizi wa kura' hujakisikia?
Kipo sasa kwenye single yao, nadhani uzinduzi wake ni Novemba 3.
Watake wasitake Ushindi ni lazima kwa sababu CCM inakubalika na kuaminika
Mkuu Pundamilia honestly, ulijisikiaje ulipomwona Kikwete akimnadi Pesambili Mramba huko Rombo, akimnadi Edward Lowassa huko Monduli, akimnadi Andrew Chenge huko Bariadi na alipolazimika kumkumbatia mshtakiwa wa rushwa Mwakalebela mjini Iringa. Ni kweli CCM wameapa kuwa tutake tusitake ushindi ni wao na hata gazeti la serikali nalo limedai hivyo, sasa kitu gani kinakufanya hata wewe uiamini CCM pamoja na hivi vitendo vyake ?

kanda2,
hivi hicho kibao cha 'wizi wa kura' hujakisikia?
kipo sasa kwenye single yao, nadhani uzinduzi wake ni novemba 3.
watake wasitake ushindi ni lazima kwa sababu ccm inakubalika na kuaminika