Ndiyo tatizo la kukopi nyimbo za watu!Muda mfupi uliopita kabla ya mechi ya CHAN 2021kati ya Zambia na Tanzania, kama ilivyo ada zimepigwa nyimbo za Taifa za mataifa hayo mawili.
Umetangulia wimbo wa Taifa la Zambia na umepigwa wote kama ulivyo...
Sio Zambia tu ata wa South unafananHivi wimbo wetu na wa zambia unafanana make kipindi wanapiga wa zambia ndo nilijua wetu
Ok asante kwa info...Sio Zambia tu ata wa South unafanan
Ok, tumeshagongwa kimoja.Tunachezewa nusu uwanja sana.
Ndiyo maanake kwani ulikuwa hujui Hilo?Nahangalia hapa kupitia KBC na mtangazaji alikua akiitaja zaidi Dar es salam Young African kama ndio timu kubwa na nembo la soka la bongo
Itakuwa kbc ya tandale ambayo mtangazaji wake ni maulid kitenge, hawawezi kuzungumzia timba ambayo hata kwenye 50 bora ya caf haipoNahangalia hapa kupitia KBC na mtangazaji alikua akiitaja zaidi Dar es salam Young African kama ndio timu kubwa na nembo la soka la bongo
Wimbo wa Afrika Kusini uliotafsiriwa kwa KiswahiliMuda mfupi uliopita kabla ya mechi ya CHAN 2021 kati ya Zambia na Tanzania, kama ilivyo ada zimepigwa nyimbo za Taifa za mataifa hayo mawili.
Umetangulia wimbo wa Taifa la Zambia na umepigwa wote kama ulivyo, lakini ilipofika zamu ya wimbo wa Tanzania wenye beti 2 umepigwa ubeti mmoja tu na kwa vile umepigwa kwa ala hatujui ni ubeti gani kati ya ubeti wa kwanza na wa pili. Wakati wachezaji na viongozi wakianza ubeti wa pili ghafla vyombo vikazimwa na ukawa mwisho wa wimbo.
Ninachotaka kusema hapa ni kwa nini wimbo wetu wa Taifa upigwe ubeti mmoja pekee? Je, hili ni la makusudi au menejimenti ya CAF inajua wimbo wetu wa Taifa una ubeti mmoja?