Tuacheni utamaduni wa kulalama kila kitu. Bei ya mafuta hakuna njia zaidi ya kuombea vita ipungue na uzalishaji uongezeke.
Mimi binafsi ninaishi jimbo marekani ambalo linaongoza kwa uzalishaji hapa USA na kwa takwimu USA wanaongoza Duniani kwa uzalishaji lakini bei ya petroleum hapa ni sawa sawa na Tsh 2,486 na disel ni 3,108.
Sehemu nyingine za nchi kama California petroleum ni zaidi ya 3,000 . Hivyo hili ni janga la taifa na sio sawa kulaumu serikali kwenye hili ni janga la Dunia.
Uzuri ni kwamba bei itaanza kushuka baada ya nchi nyingine kuanza kuongeza uzalishaji