Tusilazimishe pambano la Kiduku na Mwakinyo

Tusilazimishe pambano la Kiduku na Mwakinyo

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,296
Reaction score
3,398
Na K.S.K

Heshima yenu wana jamvi,

binafsi nimefurahishwa sana na ushindi wa kiduku kwa mara nyingine tena mbele ya dulla mbabe, na baada ya kiduku kubeba crown kumekuwa na hoja nying ya team kiduku wakimtaka/tukimtaka mwakinyo,binafsi sio muumin sana wa kutaka pambano hilo lifanyike mapema ešp at this time kwa sababu zifuatazo.

1: Mchezo wa ngumi kwa sasa tanzania ndio unaibuka kwa kasi sana hasa baada ya azam kuipa promo ya kutosha(kuanzia LY) na pia tuna mabondia wachache wafanyao vizuri kimataifa ikiwemo mwakinyo, hvyo kama taifa wote tunapaswa tumpe support mwakinyo hasa kimataifa na kumuombea apate zaidi mapambano ya kimataifa ambayo yatampa points na rank zaid na mikanda zaidi, hivyo tusiangalie zaid kupgana kwa hao wawili (Kiduku na Mwakinyo) ambapo obviously mmoja atashushwa au kushushwa zaidi, binafsi kama napata nafasi ya kushauri ningeshauri ni vyema kiduku ajikite katika kutafuta mapambano ya kimataifa ambayo yatampa point zaidi, namaanisha ni bora tuwe na champs wa2 au na zaid kimataifa wanaofanya vizuri kuliko kuwa nae 1 na kutaka kumtumia huyohuyo m1 kumpandisha mwingne.

2. Mwakinyo ndo champion na malengo yake ni kuzidi kupaa kipoint, na ili kupaa ni lazima ashinde kwa kupigana na mtu ambae amemzidi points(ranking) au wanalingana au kama wamepishana basi kidogo sana,na kwa ndani mtu huyo hayupo hvyo kwa malengo ya mwakinyo ana uhuru wa kuchagua kutimiza malengo yake au kuamua kupigana tu kuwafurahisha watanzania.

3. Kwakuwa mwakinyo ndo champ, na kwa kuwa kiduku anataka kuprove wrong hlo na kutafuta kupanda hvyo ni lazima kwenye mkataba wa kusaini kupigana na kiduku, kama mwakinyo ataamua kupigana basi demand zake zifikiwe, ikiwemo malipo, na mengneyo

Kwa kumalizia simaanishi kuwa Mwakinyo anaweka ugumu kupigana kwa kuwa anahis atapigwa la hasha, nimejaribu kujiweka katika nafasi ya mwakinyo na malengo yake ya kimataifa, na kufikiria kwa sauti,lakini kwenye pambano lolote linaweza kutokea, hvyo tuzidi kuomba mapambano ya kimataifa zaidi kwa wote.

IMG_20210821_013316_132.jpg
Screenshot_20210821-135142.jpg
 
Mwakinyo na Kiduku ni uzito tofauti. Wanaotaka wapigane hawajui sheria za ngumi.
Kwani uzito ni tozo kwamba hauwezi kupungua? Una taarifa Twaha na Dullah hawakuwa na uzito sawa na ilibidi mmoja ashushe uzito ili wapambane?

Wewe hizo sheria zako unazojua ni za miaka ya 1920
 
Back
Top Bottom