SoC01 Tusimalize mboga yote usiku

SoC01 Tusimalize mboga yote usiku

Stories of Change - 2021 Competition

Sarah c

New Member
Joined
Aug 29, 2021
Posts
2
Reaction score
4
Personally ntawaongelea wenye nacho hatuwezi kuokoa wote but wanaowezekana tuwaokoe

To the government and graduates,.tangazo la bodi ya mikopo linasema litawafadhili wanafunzi 160,000.
wazo langu.,

hakuna muujiza, wala mtu atakaekuja kuokoa wasomi katika dimbwi la jobless yaani ukosefu wa ajira. tunaweza Tenga mboga kwa ajili ya usiku but hatujui kesho mchana tutakula Nini!? Tunaweza kula mboga zote usiku sababu ni kwa ajili ya usiku, but tunaweza kula usiku na tukabakisha kwa ajili ya kesho sababu hatujui kesho itakuaje.

Serikali ianzishe mfumo wa kuwakata wanafunzi 30,000 kwa kila boom yaani kwa kila quarter, yaani boom lote likiingia elfu therasini ibaki kwenye account yake asiweze kuitoa iwe treated kama fixed deposit.

Hapa bank waangalie namna ya kuzitengeneza hizi account.
Hizi fedha bank wazitumie katika mizunguko yake na faida igawanyike kwa bank na wanafunzi, yani kama fixed accounts zinavooperate,

Let’s say wanafunzi 160,000 wamefadhiliwa, kila quarter tunakata fixed deposit ya 30,000.

Yaani 160,000×30,000=4,800,000,000(billion nne million mianane) Hii ni quarter moja na mwanafunzi ana semister 6 adi kuhitim
So kwa semister 6 bank itakua imepata bil 57.6

Na mwanafunzi kwa semister 6 atakua ana 360,000. lakini the moment anavoaanza kukatwa hii hela profit ake ianze kua calculated. yaan anapokatwa Ile therasini ya kwanza.

Lakini hii hela pindi uyu mwanafunzi anapomaliza asipewe, bank waendelee kuizungusha akae nyumbani kwa miaka miwili
Kwanini nasema akae nyumbani walau miaka miwili ndio apewe, ukimaliza chuo ukifika nyumbani kila mtu atakwambia lakwake mwingine atakwambia uza mtumba uyu atakwambia Lima viazi uyu atakwambia jumua Mchele uyu jumua mikoba so kinakua ni kipindi Cha simama, kaa, anguka.yaan anaanguka anakaa na ule uchuo chuo unakua unamuondoka.

akikaa miaka miwili mtaani anakua tayari anajua system ya mtaani anakua ana connection na anajua ni biashara gani anaweza fanya
So kwa io miaka miwili aliokaa nyumbani tunategemea bank wawe wamemzalishia faida ya kutosha kwenye Ile hela ake

So after two years uyu kijana anaweza kuwithdraw zile pesa zake

Lakini after this bank wajitaidi sana kuwashwawishi Hawa vijana waendelee kutumia huduma kama sim banking ili kuendelea kuzungusha fedha.

Hapa serikali itakua imesolve tatizo la ukosefu wa hela bank, maana kwa mwaka bank itapata bil 19.2 ambayo ni fixed kwa miaka mitano na kila mwaka inaongezeka. yaani uyu mwanafunzi anakatwa kwa miaka mitatu anayosoma na miwili ya mtaani inakua mitano.

Lakini pia tunakua na uhakika wa vitu viwili tumemsomesha kijana lakini pia ana mtaji wa kuanzia akiwa mtaani.

Hapa Sijajumuisha madaktari wanaokaa miaka mitano kuna hela za field nk

Ni kweli hii hela imepangwa na imekua calculated kwa ajili ya chakula na makazi but katika hii hela hua tunanunua smart phone, computer,sabufa etc

Written by sarah C
chalressarah@yahoo.com
#jamiiforum #andikanaushinde
 
Upvote 6

Mawazo mazuri sana
 
Back
Top Bottom