Tusimwadhibu Diamond Platnumz

Yani upinzani wa nchi yetu wa ajabu sana. Ukiachana na diamond msanii gani mwingine alisimama na wananchi kny matukio yoyote yale. Kweli upinzani ungechukua nchi tusingekua na amani saiv. Watu visasi kila mahali chaaaaaaa
 
Tusipangiane. Kila mtu ashinde mechi zake. Kama ambavyo aliunga mkono ukandamizaji na uonevu wa waliompinga Magufuli., Waliompinga Magufuli na associates wake wana haki hiyo hiyo ya kumpinga Diamond. Cha msingi kila mtu ashinde mechi zake. Lakini kusema tumsapoti kisa ni Mtanzania nasema Big No!
 
Yani upinzani wa nchi yetu wa ajabu sana. Ukiachana na diamond msanii gani mwingine alisimama na wananchi kny matukio yoyote yale. Kweli upinzani ungechukua nchi tusingekua na amani saiv. Watu visasi kila mahali chaaaaaaa
Magufuli mbona alikuwa na visasi hadi anaua watu?
 
Mpaka kero sasa kila kona ni huu mjadala usio na kichwa wala miguu
 
Issue sio uccm ila dayamondi ni mbinafsi sana ,yeye hajawai msupport msanii yeyote nje ya kundi lake....kwa kifupi ajirekebishe.
Mengine hayo ya awe sisiemu asimame na wananchi sijui wapinge uonevu mimi hayanihusu Mungu ndio atakayeamua kwa hilo ila hapa ni wazi umepotosha umma nadhani hisia za chuki ni kubwa kuliko uhalisia ulivyo labda nikukumbushe tukianza na suala la kusupport wenzie kwenye utoaji wa album tumeshuhudia Diamond akipost instagram soon after the launching ya album ya Jux Diamond alipost kuomba watu wamsupport Jux pia aliwahi kupost album ya Harmonize AfroEast kwenye IG yake hiyo ni mifano michache tu ulitaka awasupport kwa namna ipi pia mara nyingi sana Diamond amewapigia debe wasanii wenzako pale wanapochaguliwa kama nominees ktk tuzo mbalimbali mfano Nandy,Mario n.k, na pia inajulikana wazi na wasanii wenyewe wanasema Diamond ndio daraja la wao kufanya collabo west Africa hilo lilithibitishwa na Shetta,Ay,Navy kenzo kikubwa kinachoonekana Diamond yupo karibu sana na wasanii ambao wanaojielewa wale wanafki wanafki amewapiga pending ndio maana wanaona kama hawapi support unampaje support mtu ambaye anakuchimbia kaburi? Hebu fikiria hata wewe mpenzi mtazamaji
 
Sawa ina maana basi upinzani ungeshika nchi wangezidi visasi vya the late.
Vingekuwa sawa na Magufuli ambaye ni kielelezo cha mwanaccn mnafiki mwenye visasi. Usimtoe Magufuli kwenye equation ya walipa kisasi. Yeye ndiye mpenda visasi kuliko shetani
 
Vingekuwa sawa na Magufuli ambaye ni kielelezo cha mwanaccn mnafiki mwenye visasi. Usimtoe Magufuli kwenye equation ya walipa kisasi. Yeye ndiye mpenda visasi kuliko shetani
Je hawa wanaofanya saiv sio visasi? Je wangekua madarakani ingekuaje
 
Kwa nn unaona upande wa wapinzani tu? Upande mwingine hauuoni au umevaa miwani ya mbao?
Naongelea hali ya sasa. Hiyo ya upande mwingine niliongelea sana huko nyuma.
 
Uhuru watumie wao tu, akitumia 💎 kakosea
 
Bongo chuki tu, waliokua wanamchukia ni wengi sasa kigogo na wenzio walivoanzisha na wanaJF wakaliunga humo, wakawa wamepata sababu. 98% ya wasanii wakubwa bongo walipigia kampeni ccm, hapo ndo unajua ni chuki tu za wabongo hao wote hawaguswi ila yeye tu.
 
Thadei nawe acha kihelehele. Huyu ali side na wauaji, leo wenye akili hawawezi kumuunga mkono. It is that much simple! Unaside na Idd Amin, halafu kesho uwe nasi tulioteswa na Idd Amin? Thadei youa er so stupid nilikuwa sijagundua. Unajitiage kihelehele cha kuandika sana kumbe hovyo, can not reason well!
Huyu aliunga mkono UUAJI, leo asiadhibiwe?
 
Hopelessly, I can smell 30 pcs of silver herein!
I respected Tadei by his periodic publications based on rights suppressor but for this you are a stinking puta madre!
 
Nani anamwadhibu? Mbona hii ishu mnaikuza sana, ... mnapiga kelele huku mtandaoni.. nina uhakika watakao vote huko BET ni wachache sana... wala Hata msijipe pressure
Sasa kwanini chadema wanahangaika nae sana?
 
Kiongozi muovu kwa mujibu wa nani?

Chadema ni wajimga sana aisee!

Yani unataka kila mtu afuate uanchokiamini wewe?

Yani viongozi wote kasoro Mbowe tu wamefanya mondi ndio agenda yao kuu! Alafu mnataka 2025 mshinde uchaguzi?
 
Mnajihangaisha bure tu!
.
Hadi watu nliofikiri wana akili kumbe nao maboga kabisa!

Diamond mtamuacha akichanja mbuga kwenye muziki huku nyie mkibaki wapinzani daima
 
Vingekuwa sawa na Magufuli ambaye ni kielelezo cha mwanaccn mnafiki mwenye visasi. Usimtoe Magufuli kwenye equation ya walipa kisasi. Yeye ndiye mpenda visasi kuliko shetani
Kwa hiyo na nyie mnamuiga kulipa kisasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…