BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kuna vitu tulipaswa tusivione wala kuvijua kabisa kwa usalama wetu kwa bahati mbaya au nzuri likaja jitu linaloitwa mtandao(INTERNET) lijuzi la kila kitu kuanzia mazuri mpaka mabaya ingekuwa zama za kina Adam na Hawa basi lile tunda la kati ndio internet yenyewe.
Porno zimeimpact lifestyle ya mwanadamu wengi nikiwemo mimi tuliona vitu kwenye video za ngono tukaenda practice vitu kama kucheza na tope ni direct effect ya video za ngono.
Kuna categories za porn zinaogopesha hususani kwa ustawi wa jamii ya kiumeni ila ndio baadhi ya video zinazoongoza kuwa na views no kubwa.
Tuwape maua yao TCRA kwa kutoruhusu direct access ya porn sites maana licha ya Kuban still hali ni mbaya how comes wasingefanya hivyo ingekuwa zaidi ya nightmare.
Mashariki ya kati wana balaaa..