Tusinunue vitu Used jamani

Tusinunue vitu Used jamani

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Ningependa kuwashauri wanaume wenzangu kuwa mnapotoa hela zenu ili mpate kitu fulani hakikisheni hicho kitu ni kipya na hakijatumiwa na mtu.

Ngoja nikuelezee kidogo,
1) Kitu kilichotumika mara nyingi huwa sio bora ndio maana kinauzwa kama used.

2) Ukinunua kitu used ni dhahiri kuwa alieanza kukitumia kabla yako amekidharau hicho kitu ndio maana amekiacha.

3) Mtu aliekuachia kitu Used tambua kuwa ameshaona kitu chengine bora zaidi kuliko used anachokuachia wewe.

WANAUME WENZANGU NAWASHAURI TUTOE PESA ZETU KULIPIA KITU NEW NA SIO USED MAANA KITU USED NI KITU KIBOVU NA HAKINA THAMANI KULINGANISHA NA KIPYA.
 
Ningependa kuwashauri wanaume wenzangu kuwa mnapotoa hela zenu ili mpate kitu fulani hakikisheni hicho kitu ni kipya na hakijatumiwa na mtu.

Ngoja nikuelezee kidogo
1) Kitu kilichotumika mara nyingi huwa sio bora ndio maana kinauzwa kama used.

2) Ukinunua kitu used ni dhahiri kuwa alieanza kukitumia kabla yako amekidharau hicho kitu ndio maana amekiacha.

3) Mtu aliekuuzia kitu Used tambua kuwa ameshaona mbadala wa kitu chengine bora zaidi kiliko used anachokuachia wewe.

WANAUME WENZANGU NAWASHAURI TUTOE PESA ZETU KULIPIA KITU NEW NA SIO USED MAANA KITU USED NI KITU KIBOVU NA HAKINA THAMANI KULINGANISHA NA KIPYA.
Isije kuwa code..!!!

Teknolojia inabadilika.

Kilichopitwa na wakati ulaya huku kinaweza kuwa teknolojia mpya na ikafaa.
 
UZI WANGU MWENGINE HUU HAPA AMBAO MADIKTETA (MODERATORS) WAMEUFUTA

JAMIIFORUMS HAKUNA UHURU WA KUTOA HABARI.

Moderators wanafanya kazi yao bila ya Ueledi na misingi ya ofisi yao.

Wanafuta nyuzi hovyo na ukilalamika kwa kuandika uzi wanaufuta pia.

JAMIIFORUMS HAKUNA UHURU WA KUTOA HABARI.

Nimeandika uzi kuhusu kutofautiana kati ya Lema na Ntobi lakini Moderators wakafuta uzi.

Niliandika uzi kuhusu mmong'onyoko wa maadili kwa baadhi ya viongozi kuvuja video zao za faragha UZI UKAFUTWA.

JAMIIFORUMS HAKUNA UHURU WA KUTOA HABARI.

Yani hapa JamiiForums ukimuongelea mdau wao ni lazima uzi ufutwe.

INASIKITISHA SANA.
 
Hii
Ningependa kuwashauri wanaume wenzangu kuwa mnapotoa hela zenu ili mpate kitu fulani hakikisheni hicho kitu ni kipya na hakijatumiwa na mtu.

Ngoja nikuelezee kidogo,
1) Kitu kilichotumika mara nyingi huwa sio bora ndio maana kinauzwa kama used.

2) Ukinunua kitu used ni dhahiri kuwa alieanza kukitumia kabla yako amekidharau hicho kitu ndio maana amekiacha.

3) Mtu aliekuuzia kitu Used tambua kuwa ameshaona mbadala wa kitu chengine bora zaidi kiliko used anachokuachia wewe.

WANAUME WENZANGU NAWASHAURI TUTOE PESA ZETU KULIPIA KITU NEW NA SIO USED MAANA KITU USED NI KITU KIBOVU NA HAKINA THAMANI KULINGANISHA NA KIPYA.
Hii mada inazungumzia vitu kama vitu??? Maana naona walengwa ni wanaume tu
 
Sokoni mmeacha mavitu used halafu mnataka vipya. Kila mtu anatumia anaacha halafu utegemee wenzio wakuachie mpya? Utajikuta tu umepata used kwa bei ya mpya ukiamini ni mpya.
 
Vitu vipya vipo, ila hujaamua tu kuvitafuta.

KATAA VITU USED
 
Back
Top Bottom