Isije kuwa code..!!!Ningependa kuwashauri wanaume wenzangu kuwa mnapotoa hela zenu ili mpate kitu fulani hakikisheni hicho kitu ni kipya na hakijatumiwa na mtu.
Ngoja nikuelezee kidogo
1) Kitu kilichotumika mara nyingi huwa sio bora ndio maana kinauzwa kama used.
2) Ukinunua kitu used ni dhahiri kuwa alieanza kukitumia kabla yako amekidharau hicho kitu ndio maana amekiacha.
3) Mtu aliekuuzia kitu Used tambua kuwa ameshaona mbadala wa kitu chengine bora zaidi kiliko used anachokuachia wewe.
WANAUME WENZANGU NAWASHAURI TUTOE PESA ZETU KULIPIA KITU NEW NA SIO USED MAANA KITU USED NI KITU KIBOVU NA HAKINA THAMANI KULINGANISHA NA KIPYA.
UZI WANGU MWENGINE HUU HAPA AMBAO MADIKTETA (MODERATORS) WAMEUFUTA
yeeeeeeeaaaa lowassa huyo kasemaBlender za mtumba ziko vzr sana
Hii mada inazungumzia vitu kama vitu??? Maana naona walengwa ni wanaume tuNingependa kuwashauri wanaume wenzangu kuwa mnapotoa hela zenu ili mpate kitu fulani hakikisheni hicho kitu ni kipya na hakijatumiwa na mtu.
Ngoja nikuelezee kidogo,
1) Kitu kilichotumika mara nyingi huwa sio bora ndio maana kinauzwa kama used.
2) Ukinunua kitu used ni dhahiri kuwa alieanza kukitumia kabla yako amekidharau hicho kitu ndio maana amekiacha.
3) Mtu aliekuuzia kitu Used tambua kuwa ameshaona mbadala wa kitu chengine bora zaidi kiliko used anachokuachia wewe.
WANAUME WENZANGU NAWASHAURI TUTOE PESA ZETU KULIPIA KITU NEW NA SIO USED MAANA KITU USED NI KITU KIBOVU NA HAKINA THAMANI KULINGANISHA NA KIPYA.
Bora hata wee usemee, wanaboa sana.Hivi kwanini mnahangaika sana? Kila siku mnafungua nyuzi mia kuhusu ma single mama, hivi kuna mtu amewalazimisha kuwaoa?
Wewe kama hutaki si ukae kimya uoe hao wapya wako
Vitu vipya vipo, ila hujaamua tu kuvitafuta.Sokoni mmeacha mavitu used halafu mnataka vipya. Kila mtu anatumia anaacha halafu utegemee wenzio wakuachie mpya? Utajikuta tu umepata used kwa bei ya mpya ukiamini ni mpya.
Na wanaume wenyewe ni wale vijana waoga waliokosa uthubutu wa kiume ambao wamekariri kuwa uanaume/ urijali ni kuwika tu asubuhi!Hii
Hii mada inazungumzia vitu kama vitu??? Maana naona walengwa ni wanaume tu