Tusiokua na michepuko tukutane humu

Tusiokua na michepuko tukutane humu

Tumefika Hadi Wale Ambao Mbavu Zetu Za Kushoto Zishageuzwa Supu
 
Kutokuwa na mchepuko ni sawa na kusema tangia umebaleghe hujawahi piga nyeto
Sasa hapo utakua rijali sawasawa au bikra?
 
Mke mmoja tu ananitoa jasho sipati nae muda wa kutosha kukaa nae na ku enjoy.kifupi kazi ndio mchepuko wangu maana inanilia muda kias kwamba nikirud home ni story chache na wife na watoto kisha kupumzika.!!!
Sasa huwa na imagine kama nitakua na mchepuko cjui kama nitaweza ku handle maisha hayo maana dhahir shair nitashindwa
 
Utakuwa na matatizo yafuatayo
.huna nguvu za kiume
.huna pesa
.we ni domo zege mkuu
.umewekewa limbwata
.we ni bushoke

We uoni dume moja la samaki majike sita, jogoo mitetea kama yotee, simba anatembea na walimbwende kama wote we unatuletea pigo za njiwa .


Umekiuka kipengele namba 3(a) katika ibara ya Kwanzaa sura ya Kwanzaa inayozungumzia wanaume walio oa ambayo inasema " ni jambo la fedhea na aibu mwanaume kukosa mchepuko kwani Mara nyingi unaimarisha na kustawisha ndoa na unaleta hazi ya kiume "katika katiba ya umoja wa wanaume
 
Huchepuki ila mwenzio ndo kumekucha. Maisha haya[emoji23]
 
Back
Top Bottom