Utakuwa na matatizo yafuatayo
.huna nguvu za kiume
.huna pesa
.we ni domo zege mkuu
.umewekewa limbwata
.we ni bushoke
We uoni dume moja la samaki majike sita, jogoo mitetea kama yotee, simba anatembea na walimbwende kama wote we unatuletea pigo za njiwa .
Umekiuka kipengele namba 3(a) katika ibara ya Kwanzaa sura ya Kwanzaa inayozungumzia wanaume walio oa ambayo inasema " ni jambo la fedhea na aibu mwanaume kukosa mchepuko kwani Mara nyingi unaimarisha na kustawisha ndoa na unaleta hazi ya kiume "katika katiba ya umoja wa wanaume