Tusiotaka kufunga mwaka tukiwa 'single'

Usijali nitakufikiria kwnye huo ufalme mana umeonesha kama huniamin hivi
Ila nitajitahidi nsikusahau katibu
Kukuamini nafikiri unasahau kuwa tuliapiza hakuna kuaminiana ata bank tutazama wote kuchukua siku ya siku
 
Huu muhtasari niliusikia make nilichelewa nikajua maneno ya ya wajumbe make walikuwa wanakupinga na kukusupport wengi wakaniacha dilemma

Hapana mkuu nilieka bayana kabisa account number mana kura zilipitishwa nyingi tuchangie kwenye account number
Kama hujaipata njoo piemu nikusogezee
 
Reactions: Lee
Mwekahazina watangazie mapema wakizembea kutoa michango kwenye kikao watajikuta wanakunywa maji ya TANZA tu

Nawakumbusha sana katibu mtendaji tatzo watu ni wabishi sana
Nataka nikaeke oda ya mikeka mana tunapoelekea tutakosa viti vya kukaa
 
Reactions: Lee
Hapana mkuu nilieka bayana kabisa account number mana kura zilipitishwa nyingi tuchangie kwenye account number
Kama hujaipata njoo piemu nikusogezee
Mimi natuma kwa jf money ...ila pm nimetuma jina la mjumbe wetu yule ndumilakuwili utaliona
 
Nawakumbusha sana katibu mtendaji tatzo watu ni wabishi sana
Nataka nikaeke oda ya mikeka mana tunapoelekea tutakosa viti vya kukaa
Ila bajet ya viti ilikuwepo sasa inakuwaje kuwajeeeee
 
Kukuamini nafikiri unasahau kuwa tuliapiza hakuna kuaminiana ata bank tutazama wote kuchukua siku ya siku

Sawa haina shida tutaongozana wote
Ila mpka watu wamenipa hiko cheo ujue wananiamini katibu
 
Reactions: Lee
Mimi natuma kwa jf money ...ila pm nimetuma jina la mjumbe wetu yule ndumilakuwili utaliona

Sawa sawa katibu haina shida ngoja nikadhibitishe
 
Reactions: Lee
Ila bajet ya viti ilikuwepo sasa inakuwaje kuwajeeeee

Mwisho wa mwaka huu katibu watu wanaoa sana ndo mana kupata oda ya viti na meza inakua ni shida mana wengi hawajamalizia michango
 
Reactions: Lee
Mwisho wa mwaka huu katibu watu wanaoa sana ndo mana kupata oda ya viti na meza inakua ni shida mana wengi hawajamalizia michango
Kwa hiyo utarejesha chenjiii au tuyajenge upate nguvu wa upande wa kutetea make siku ya kuvunja katiba sielewi
 
Kwa hiyo utarejesha chenjiii au tuyajenge upate nguvu wa upande wa kutetea make siku ya kuvunja katiba sielewi

Tutayajenga siku tukiwa tunavunja kamati katibu usiwe na shaka
 
Hakuwepo huyu...kikao cha masingle yye anataka uwe double sijui ili ugundue nini

Afadhal umemuwahi mana nlikua nshaanza kupata presha
Embu mueleweshe labla amekosea kikao
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…