Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
KiburiNi kitu gani kimekusaidia kwenye maisha japo watu wengi hawakiamini au kukubaliana nacho?
Hongera sana rafikiKupata mchumba kutoka kwenye social media.
Duh ngumu kumeza hiiKuacha Kula milo ya gharama kama nyama kuku na samaki, na kuweka bajeti ya Mboga za majani, dengu, mwaka mzima ili nisave no soda no vacation
Mara nne Hadi tano kwa mwezi🥱.Kuvuta Jani Korofi Sijutii Kabisa
Niko mwnyw watoto wako shule Sina mkeDuh ngumu kumeza hii
Kuuza matunda kwenye junctionNi kitu gani kimekusaidia kwenye maisha japo watu wengi hawakiamini au kukubaliana nacho?
Imekusaidia nin?Kuacha Kula milo ya gharama kama nyama kuku na samaki, na kuweka bajeti ya Mboga za majani, dengu, mwaka mzima ili nisave no soda no vacation
Hongera sanaPuchu, nimesave pesa nyingi sana ambayo ingebidi kuihonga kwa starehe ya muda mchache.