Tusipigiane kelele tusubirie Jumapili

Tusipigiane kelele tusubirie Jumapili

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Wengine hatutaki mikelele ya kina Sheikh Yahya Wa mitandaoni Juu ya nani atashinda kwenye Derby ya Kariakoo.

Tusubiri siku ifike tuone nani atakuwa mshindi.
 
Hatutegemei ngada fc yenye cf ya john babu bocco ibebe ndoo ya ngao ya jamii. Leo chiba kakomba benchi lote la akiba lakini aliyeingia afadhali aliyetoka
 
Hii mechi ilicheleweshwa na Tff , kawaida ngao ya Jamii kama ilivyokopiwa kwa wazungu ilikuwa ni mabingwa wa kihistoria v makamu Bingwa
 
Kama dirisha halijafungwa, ni bora ngada fc wamsajili CL Manzoki. Amini amini nawaambieni, huyu atawavusha huyu
 
Huu ni ujinga mkubwa sana.
Man city alitoa sare na Arsenal huku ndani kukiwa na mfunfaji hatari.Kwa akili zako City wasajili striker?
Watanzania hovyo!
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Wengine hatutaki mikelele ya kina Sheikh Yahya Wa mitandaoni Juu ya nani atashinda kwenye Derby ya Kariakoo.

Tusubiri siku ifike tuone nani atakuwa mshindi.
Simba shida kocha akiweka music mzuri 45 Yanga hufiki, Saido ,kibu Bocco, mzamiru wasicheze hakuna wa kusimama
 
Huu ni ujinga mkubwa sana.
Man city alitoa sare na Arsenal huku ndani kukiwa na mfunfaji hatari.Kwa akili zako City wasajili striker?
Watanzania hovyo!
Kwa hiyo wewe mwerevu na mwenye akili timamu unamuona Bocco kama bonge la straika?
Tafadhali usijibu hadi jumapili saa tatu usiku.
 
Back
Top Bottom