Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kabisa.mechi za rushwa, rushwa ni taka taka kuangalia hizi mechi
Hatutegemei ngada fc yenye cf ya john babu bocco ibebe ndoo ya ngao ya jamii. Leo chiba kakomba benchi lote la akiba lakini aliyeingia afadhali aliyetokaWengine hatutaki mikelele ya kina Sheikh Yahya Wa mitandaoni Juu ya nani atashinda kwenye Derby ya Kariakoo.
Tusubiri siku ifike tuone nani atakuwa mshindi.
Acha ushabiki kwenye mambo serious, hii ukiachwa italudisha mpira nyuma,Kabisa.
Ila Kibu D mkandaji atakuwepo!!
SawaHatutegemei ngada fc yenye cf ya john babu bocco ibebe ndoo ya ngao ya jamii. Leo chiba kakomba benchi lote la akiba lakini aliyeingia afadhali aliyetoka
weka akiba ya maneno,derby haitabilikiKama dirisha halijafungwa, ni bora ngada fc wamsajili CL Manzoki. Amini amini nawaambieni, huyu atawavusha huyu
Simba inaimbwa weeee,lakini pale bado sana,tuna wakuza mno wachezajiKabisa.
Ila Kibu D mkandaji atakuwepo!!
Kibu angefunga goli kama lile la siku Ile pale Kwa chinga ingekuwa poa sana.Mpira uliochezwa leo na Simba unalingana na kiingilio cha Tamasha la Simba day yaani 5000/=
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hofu imekutandamechi za rushwa, rushwa ni taka taka kuangalia hizi mechi
Huu ni ujinga mkubwa sana.Kama dirisha halijafungwa, ni bora ngada fc wamsajili CL Manzoki. Amini amini nawaambieni, huyu atawavusha huyu
Simba shida kocha akiweka music mzuri 45 Yanga hufiki, Saido ,kibu Bocco, mzamiru wasicheze hakuna wa kusimamaWengine hatutaki mikelele ya kina Sheikh Yahya Wa mitandaoni Juu ya nani atashinda kwenye Derby ya Kariakoo.
Tusubiri siku ifike tuone nani atakuwa mshindi.
Kwa hiyo wewe mwerevu na mwenye akili timamu unamuona Bocco kama bonge la straika?Huu ni ujinga mkubwa sana.
Man city alitoa sare na Arsenal huku ndani kukiwa na mfunfaji hatari.Kwa akili zako City wasajili striker?
Watanzania hovyo!