Watanzania Hawathamini utaifa wao Mkuu wengine na Kaptula zao na Sendoz zao za yeboyebo tayar wanaeneza uvumi kwamba jezi zina alama ya Kujumlisha yaaaani hivyo kesho dini yao isivae. Ujinga tuuu Vichwani mwetu. Shithole
Negative mentality ya watanzania wengi, ndio maana tunaweza tusiende. Ndio maana weqe ukiwekwa ktk job interview na wakenya au wemgine, hao wemgine watapata kazi sababu ya mentality yako. Kuna uwezelano hata baadhi ya wachezaji wanafikiria ujinga kama wewe.Burundi ni nchi ndogo sana ukilinganisha na Tanzania lakini leo wamefuzu walikuwa wanahitaji dro tu zidi ya Gabon na wameipata mechi imeisha moja moja
Yani kwa kweli tusipo fuzu itakuwa aibu na mi najua hatuwezi kufuzu
Maana hata tukishinda pia bado haitoshi inabidi pia Cap varde aifunge Lesotho
La sivyo ataenda Lesotho
Sasa ona hapo jinsi tilivyo mizigo yani tunataria Uganda watubebe na Cap varde watubebe kwa kumfunga Lesotho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wapumbavu sana.wanadhani ni sifa...kumbe ndio wanayachochea...wanalazimisha udini ..Watanzania Hawathamini utaifa wao Mkuu wengine na Kaptula zao na Sendoz zao za yeboyebo tayar wanaeneza uvumi kwamba jezi zina alama ya Kujumlisha yaaaani hivyo kesho dini yao isivae. Ujinga tuuu Vichwani mwetu. Shithole
Kwanini Lesotho akidroo na Cape Verde na sisi tukashinda si tumefuzu au?Burundi ni nchi ndogo sana ukilinganisha na Tanzania lakini leo wamefuzu walikuwa wanahitaji dro tu zidi ya Gabon na wameipata mechi imeisha moja moja
Yani kwa kweli tusipo fuzu itakuwa aibu na mi najua hatuwezi kufuzu
Maana hata tukishinda pia bado haitoshi inabidi pia Cap varde aifunge Lesotho
La sivyo ataenda Lesotho
Sasa ona hapo jinsi tilivyo mizigo yani tunataria Uganda watubebe na Cap varde watubebe kwa kumfunga Lesotho
Sent using Jamii Forums mobile app
Cape labda wauze mechi maana kamari imeharibu soka ila Lesotho wanafungwa hawana ubavu wa kutoa sare pale...Kwanini Lesotho akidroo na Cape Verde na sisi tukashinda si tumefuzu au?
Huyo aliesambaza huu uvumi wa alama ya kwenye jezi akamatwe na afungwe maisha, shenzi kabisa..!!!Watanzania Hawathamini utaifa wao Mkuu wengine na Kaptula zao na Sendoz zao za yeboyebo tayar wanaeneza uvumi kwamba jezi zina alama ya Kujumlisha yaaaani hivyo kesho dini yao isivae. Ujinga tuuu Vichwani mwetu. Shithole
Safari yetu tuliitibua Chamazi kwa kukubali Ku draw na Lesotho . Mengine ni uswahili tuBurundi ni nchi ndogo sana ukilinganisha na Tanzania lakini leo wamefuzu walikuwa wanahitaji dro tu zidi ya Gabon na wameipata mechi imeisha moja moja
Yani kwa kweli tusipo fuzu itakuwa aibu na mi najua hatuwezi kufuzu
Maana hata tukishinda pia bado haitoshi inabidi pia Cap varde aifunge Lesotho
La sivyo ataenda Lesotho
Sasa ona hapo jinsi tilivyo mizigo yani tunataria Uganda watubebe na Cap varde watubebe kwa kumfunga Lesotho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata walipotufunga kwao ni Timu ya kawaida sana mbaya sana yaani tulipangwa kundi la kufuzu mapema kabisa,Safari yetu tuliitibua Chamazi kwa kukubali Ku draw na Lesotho . Mengine ni uswahili tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishasema toka zaman, 3:1Burundi ni nchi ndogo sana ukilinganisha na Tanzania lakini leo wamefuzu walikuwa wanahitaji dro tu zidi ya Gabon na wameipata mechi imeisha moja moja
Yani kwa kweli tusipo fuzu itakuwa aibu na mi najua hatuwezi kufuzu
Maana hata tukishinda pia bado haitoshi inabidi pia Cap varde aifunge Lesotho
La sivyo ataenda Lesotho
Sasa ona hapo jinsi tilivyo mizigo yani tunataria Uganda watubebe na Cap varde watubebe kwa kumfunga Lesotho
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaifa gan unazungumzia chiefWatanzania Hawathamini utaifa wao Mkuu wengine na Kaptula zao na Sendoz zao za yeboyebo tayar wanaeneza uvumi kwamba jezi zina alama ya Kujumlisha yaaaani hivyo kesho dini yao isivae. Ujinga tuuu Vichwani mwetu. Shithole