Tusipochukua maamuzi magumu Taifa letu la Tanganyika litapotea kabisa

Bro upo?
 
Maamuzi magumu yanahitajika kulikomboa taifa letu.
 
Ndugu zangu watanganyika bado mnaendelea kushupaza shingo tu ???

Taasisi za USALAMA duniani kote zinaongozwa na kitu kiitwacho COMPARTMENTALIZATION. Iwe ni Regular Armed Forces, Intelligence Organization or Police Force. Nchi yoyote makini haiwezi kuweka mayai kwenye kapu moja (All Eggs In One Basket). Kila kikosi au Idara ndani ya taasisi hufanya kazi yake ambayo wengine hawaijui, wala hawana mamlaka kuifanya.

Dada yenu MANGE kawaaimbia hili majuzi hapa, na nimefurahi kuona mnaanza kupata taswira haswa ya aina ya adui mnayepambana naye. Japo tukizingatia mfumo huu, serikali inaweza ikaonekana imeshinda kwa muda, japo madhara yake ni makubwa mno, tena makubwa ya kupitiliza.

Haya watanganyika, BRACE FOR IMPACT, FOR YOU HAVENT SEEN ANYTHING YET.

There's Is A Grand Theater Coming....
​
 
Mzee rudi na uzi mwingine wa maelezo ya kutosha..!!
 
interesting, napenda unavyo twist sehemu fulani ili ku-weaponize na kujeruhi watu fulani! Kwa hio wana mtandao si watanganyika? Kina Saanane? Mwandishi wa habari wa Mwananchi? Tundu Lissu nae alikuwa mtandao? Lubeja sijui yule?

wasio julikana ni tatizo, tusitafute justification au kusafisha mtu ktk hilo.
 
Mwezi wa tatu mwakani utakuwa umeshapata majibu haya yote.

"Beware of the ides of March" Shakespeare: Julius Ceaser
​
 
Okay kwa haya uliyo andika hapa, unayaunganisha vipi na kuchambua madai ya Gwajima kutaka autonomy ya vyombo? naona kama mnapishana?

Vipi kuhusu madai ya kuwepo kwa mataifa ambayo wakuu wa vyombo wana report kwa Rais kama sheria hii mpya?

Hili zimwi la mtandao binafsi ningepata mtu wa kunisaidia kulielewa na kunikinaisha ningeshukuru sana, naona ni loop hole inayo fit na narrative za kisiasa za watu fulani kufikia agenda zao
 
There's Is A Grand Theater Coming....
 
Nakubali kuhusu mahakama, not why wamekuja na hio mambo ya nidhamu na kuwaweka ktk mahakama!

Kuhusu hilo la wakuu wa idara ya usalama zanzbar, hoja yako uki iweka kinyume chake ndio inaweza kuwa msukumo wa wazanbar kutaka mkuu wa idara awe mzanzbari kama utanielewa! Pili hivi hayo mambo ya uzanzbara na U-tanganyika si ndio moja ya madai ya msingi ktk hoja za kisiasa za sasa? Kwa hio nataka kujua mnataka u-tanzania kweli au kuna lilo jificha?

Kuhusu mawaziri kuendelea na uwaziri..niko na shaka na hoja husika kwasababu mbili, moja mawaziri hawa wataendelea kuwa mawaziri ktk kipindi cha uchaguzi ambacho nadhani hakizidi miezi 3 pengine kwa ujumla wake, kwa hio tishio unalosema au uharibifu ni ktk kipindi hicho, to what extent hio concern ni valid? Given mtu huyo ndio amekuwa waziri hapo pengien for yrs?

La pili, kuna madai mwaka 2005 baadhi ya makatibu wakuu na wakurugunzi walitishiwa na wale wanao itwa mtandao na kufanya maamuzi ya kimakosa au nje ya utaratibu kwa kuhofia nafasi zao au kutarajia fadhila fulani toka kwa wanasiasa husika. Huoni hio ni ushahidi kuwa huo utaratibu wa zamani ni dhaifu? na haufai na pengine hilo lilotokea ndio limepelekea kubadilika kwa utaratibu huo ili wanasiasa waendelee kubaki ktk nafasi za maamuzi/responsible kwa wizara husika huku wakurugenzi na makatibu wakuu wakipata kinga? sijui umenipata ktk hili?
 
 
Umeandika Vizuri sana Mkuu, Japo Malcom nae ana hoja za Msingi za Kutake Note
 
Aysee hii ni kubwa sana! Sijui nilikuwa wapi sikuisoma! Kwahiyo huyu Samuya hiki ndio kinamtesa? Au akijaribu kukikataa watapita naye? Kama ilivyokuwa kwa JPM? Hawa ndio wahuni sasa
 
Nakubaliana na wewe kwenye issue ya watu kufuata watu au kuwa wafuasi wa watu (Hususan wanasiasa wengi ni flip floppers) pia hata mimi naheshimu watu wenye principles na kusimamia principles (ingawa hawa pia tumebaki wachache sana na kila mtu ana gharama / cost yake) refer Shivji kuhusu Katiba...

Ndio maana kila situ nawaambia watu wafuate issues na ni nani anachokisema kwa wakati huo kinaenda sambamba na wewe unachosimamia au kuamini..., A broken clock is right twice a Day; na binafsi mtu kama Mangi namuweka kama watu wanaosaidia sometimes kwenye whistle blowing ingawa habari zake nyingi sometimes zina-defy logic na inabidi kuzitumia kama chanzo cha uchunguzi zaidi na sio kuzimeza nzima nzima

Lastly kabisa kwa ulivyosema kuna pro and cons kuwa na special task force inasaidia usiri na mtu kufanikisha jambo lake, mfumo wa zamani ingawa ni mzuri na kuna ugumu wa watu kufanya mambo yao binafsi ulikuwa umeshakuwa infiltrated (which means unaweza kutumiwa na wachache) kwahio ushauri ni nini ? Get rid of all this Taskforce (be it special au wa zamani) sababu naona no matter kwa udogo wake au ukubwa wake zipo kwa manufaa ya Watawala na sio Watawaliwa - Ni nini faida hasa ya hawa jamaa kwa downtroddens kitaa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…