ThinkPad
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 1,844
- 235
Heshima mbele wakuu wana JF world wide.
Will UN troops bring peace in Africa as in Europe?
Today we need to rethink about our life our society in our Africa,maana nimewaza sana na nimeumia sana rohoni baada ya kuona matatizo ya kivita yanayoendelea katika bara letu la Afrika na yamepelekea machafuko mengi sana na mauaji yakimbali ukizingatia hatuna uwezo wowote wa kifedha au kuwa na hifadhi ya pesa au mali za kutusaidia pindi tunapokuwa katika magumu hayo tofauti na wenzetu ambao ikitokea hali kama hiyo madhara huwa sio makubwa kama yanayo tukumba sisi.
Na zaidi ya 3.3 million people have died in the war in the Congo in the last six years, according to a study by the International Rescue Committee. It's the highest death toll of any war since the Second World War. Yet until recently, the U.S. and European media have ignored even we african this slaughter--even though the rulers of these countries have done much to foment the war.
Mbaya zaidi sisi tunachukulia poa wakati nduguzetu wanakufa na kutaabika hawana chakula wala maji na hakuna waafrika wanaoweza kuwafikiria tunawaachia wazungu wajewatutafutie ufumbuzi wa matatizo yetu yanayo jili hapa nyumbani Afrika as a result ni kalenda na hakuna suluhisho,
Mfano mzuri ni hii vita ya Waislael kwakuwa wao weupe ndio wanaopigana hivyo kuamuana wao wanapenda na watatekeleza mapema na pia media zote zitatangaza kuwa watu flani wamekufa but here in africa we get something very different hautosikia wakitangaza kwa lengo lakupinga na kusimamisha hayo mauaji yanayoendelea watakuwa watajionyesha kama wanashiriki kutafuta amani wakati sio kweli kama vita zote Afrika zimekomaa ni za miaka mingi sana kama kweli wanania ilitusichapane tungekuwa hatuchapani mpaka sasa ingekuwa amani tupu,ila kwavile haiwagusi ndio maana hawachkulii serious.