Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Wakati JPM anaingia madarakani alikuta miradi kibao iliyoanzishwa na Kikwete ikasimama kutokana na ukosefu wa hela. Baadhi ya miradi hiyo ni: Nyerere Terminal III, Hospitali ya Muloganzila, mradi wa mabasi ya mwendokasi (BRT), n.k.
Sasa kuna miradi mikubwa mingi sana iliyoanzishwa na itakayoanzishwa (bado) na awamu ya V ambayo isipomalizika katika kipindi chake cha awamu hii ya tano; ndo itakuwa imekufa kabisa kwasababu ya changamoto za vipaumbele katika matumizi ya hela za serikali. Baadhi ya miradi hiyo ni: daraja la juu ziwa Victoria lenye urefu 3.5km, daraja linalounganisha Coco beach hadi city center (Tanzanite bridge), SGR hadi Mwanza, umeme wa Stiglars 's gorge (Bwawa la umeme la Nyerere), n.k. Kwahiyo Mtu usipojiongeza usitegemee maisha yatakuwa mepesi mtaani chini ya JPM.