Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Yaani Tozo Kila Kona,mikopo juu Bei za vitu juu halafu kasi ya maendeleo ipo vilevile mwendo wa konokonobenki nazo zimeanza kutoza
MNATIUWA WATANZANIA MASKINI......benki nazo zimeanza kutoza
Mchwa wameongezeka mkumbuke hilo! Sahizi kila mtu anajipigia hela inayokuja eneo lake 😅Yaani Tozo Kila Kona,mikopo juu Bei za vitu juu halafu kasi ya maendeleo ipo vilevile mwendo wa konokono
Najaribu kufikiria maana Tozo inakusanywa tu hatujui Inaenda wapi.Wamesema wanajenga madarasa lakini twashangaa wameenda kukopa tena hela.Hapo si tunapigwa kekunduHio sentensi ya mwisho ndio jibu la uhakika
Mamluki wengi aiseeNajaribu kufikiria maana Tozo inakusanywa tu hatujui Inaenda wapi.Wamesema wanajenga madarasa lakini twashangaa wameenda kukopa tena hela.Hapo si tunapigwa kekundu
Dah hapa kwa watumishi wa umma aisee kitanzi kila ukigeuka umekula kibano...tukizubaa watanzania hizi tozo ndiyo utakuwa utamaduni wa CCM kukusanya mapato kwa njia hii, hizi TOZO na ile kodi ya kichwa, baskeli na mifugo enzi za ukoloni zina tofauti gani. Tuamke tuseme tozo NO.
Kwa mfano mimi mfanyakazi nalimwa PAYEE 30% ya mshahara.
Nakwenda kununua kitu kutumia mshahara huo huo nakutana na VAT 18%
Nakwenda kutuma hela kwa wazazi ama ndugu nakutana na rungu la Tozo tuseme 4%
Hii si haki kabisa, yaani mshahara wangu tunaugawana nusu kwa nusu kwa mwezi 50% yote inaondoka - hapana aisee.
Tunaimbiwa mapambio mazuri Kila siku kwa Sababu ya Tozo.
Tozo inajenga madarasa,
Tozo inajenga vituo vya afya
Tozo sijui inajenga barabara,
Tozo imeleta sijui vitu kedekede.
Wakati huo huo tunakopa mabilioni na mabilioni kutoka taaisisi mbalimbali za fedha.
Sasa hayo madarasa yanajengwa na Tozo au mikopo?
Halafu hata hivyo ukizunguka kwenye mashule ya msingi na sekondari hatuoni ujenzi wowote ukiendelea,tulitegemea kila shule ya sekondari au msingi wangekuwa bize kujenga madarasa,lakini hatuoni kitu.
Hivi hatupigwi kekundu kweli kwenye TOZO?
Isije ikawa wenzetu wanaandaa hela za kampeni 2025 kwa mgongo wa Tozo?
Yupo yupo hapo kama pambo tuHangaya nchi ishamshinda hii/// ndani ya chama chake wanamhujumu kupitia hii tozo
Yupo yupo hapo kama pambo tu
Watu wanamsifia iliwapige pesa za umma kwa urahisiKabisa kabisa! Hatujapewa mchanganuo wala maelezo kuwa kiasi kinachotozwa kinatosha au hakitoshi kiasi cha kwenda tena kukopa trillion 1.3 daaah
Watu wanamsifia iliwapige pesa za umma kwa urahisi
Anapelekewa idadi ya vituo lakini hapewi majinaNdo style inayotumika! tupo huku mikoani hatuoni ujenzi hata kuwaona tu watu labda kuwa wapo saiti ///kimyaaaa