Pre GE2025 Tusiporekebisha Siasa zetu basi 2025 bungeni watajaa akina Mdude na Mwabukusi maana...

Pre GE2025 Tusiporekebisha Siasa zetu basi 2025 bungeni watajaa akina Mdude na Mwabukusi maana...

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Natoa tu angalizo maana vibe za akina Mwabukusi ndio habari ya mjini kwa sasa

Akina Babu Tale wanauchukulia Ubunge kama Ajira

Karibuni Nanenane Arusha

Utukufu Ni kwa Mungu Juu Mbinguni 🌹
 
Itakuwa vyema sana kuliko kujaza wakina Babu Tale, Kibajaji, Tulia.

Bunge ni kwa ajili ya kuwakilisha wananchi, na hao uliowaraja ni mfano hai wa wawakilishi halisi wa wananchi.
 
Harakati ni maisha!!

Harakati zipo everywhere!!

Kwenye dini kunae harakati!!

Kwenye familia kunae harakati!!

Kwenye ndoa kunae harakati!!

Kwenye elimu kunae harakati!!

Kwenye professional zote kunae harakati!!

Sasa kwanini kwenye siasa kukose harakati?

Acha zije mambo yaendelee!!
 
kitu ambacho hakiko active maana yake kitu hicho kimekufa.


JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Na Ilibaki kidogoo mtuwekee Tivù Nyerere bungeni😂😂
 
Back
Top Bottom