J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 7, 2024 #1 Natoa tu angalizo maana vibe za akina Mwabukusi ndio habari ya mjini kwa sasa Akina Babu Tale wanauchukulia Ubunge kama Ajira Karibuni Nanenane Arusha Utukufu Ni kwa Mungu Juu Mbinguni 🌹
Natoa tu angalizo maana vibe za akina Mwabukusi ndio habari ya mjini kwa sasa Akina Babu Tale wanauchukulia Ubunge kama Ajira Karibuni Nanenane Arusha Utukufu Ni kwa Mungu Juu Mbinguni 🌹
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 8,146 Reaction score 11,434 Aug 7, 2024 #2 Itakuwa vyema sana kuliko kujaza wakina Babu Tale, Kibajaji, Tulia. Bunge ni kwa ajili ya kuwakilisha wananchi, na hao uliowaraja ni mfano hai wa wawakilishi halisi wa wananchi.
Itakuwa vyema sana kuliko kujaza wakina Babu Tale, Kibajaji, Tulia. Bunge ni kwa ajili ya kuwakilisha wananchi, na hao uliowaraja ni mfano hai wa wawakilishi halisi wa wananchi.
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,743 Reaction score 13,657 Aug 7, 2024 #3 Harakati ni maisha!! Harakati zipo everywhere!! Kwenye dini kunae harakati!! Kwenye familia kunae harakati!! Kwenye ndoa kunae harakati!! Kwenye elimu kunae harakati!! Kwenye professional zote kunae harakati!! Sasa kwanini kwenye siasa kukose harakati? Acha zije mambo yaendelee!!
Harakati ni maisha!! Harakati zipo everywhere!! Kwenye dini kunae harakati!! Kwenye familia kunae harakati!! Kwenye ndoa kunae harakati!! Kwenye elimu kunae harakati!! Kwenye professional zote kunae harakati!! Sasa kwanini kwenye siasa kukose harakati? Acha zije mambo yaendelee!!
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 4,486 Reaction score 8,098 Aug 7, 2024 #4 kitu ambacho hakiko active maana yake kitu hicho kimekufa. JESUS IS LORD&SAVIOR
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 Aug 7, 2024 #5 Na Ilibaki kidogoo mtuwekee Tivù Nyerere bungeni😂😂