Tusipotoshe umma: Hakuna aliyetengwa na hayati Magufuli, bali alikataa uhuni wa Ki-CCM ambao haufai kwa manufaa ya taifa

Tusipotoshe umma: Hakuna aliyetengwa na hayati Magufuli, bali alikataa uhuni wa Ki-CCM ambao haufai kwa manufaa ya taifa

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani.

Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma kama mlivyofanya wakati ule kupitia Epa, Escrow, Kagoda na ufisadi mwingi bila aibu.

Mlitaka hayati Magufuli awakubalie uhuni wenu kisa tu mlifanya kampeni basi mfanye ufisadi mnavyotaka?

Sasa hivi kila mtanzania anawafamu vizuri na ndio maana mnapanga safu yenu ili mfanye uhuni wenu vizuri.

20220401_040846.png
 
Mbona mnahangaika sana...CCM ni Ile Ile Hawa walifanya uhuni ule ,Magufuli naye akaanzisha wa aina yake...udikteta,uongizi wa kiulaghai,mauaji na mateso ya watu wenye mawazo mbadala,one man show kwenye maamuzi ya Msingi na mmaslahi Kwa Taifa ....Alikuwa na Vision ya hovyo Kabisa!
Sijui angefikisha miaka 5 inhekuwaje!?
 
Wasipokuja hapa CHAWA wa propaganda za kikejeli kuwa wewe ni "Sukuma gang", naomba nisisikike tena hapa JF.

Ujinga, maradhi, ufisadi, magonjwa na umaskini ni maadui wa maendeleo TZ, lakini CHAWA ni zaidi ya shetani kiuadui.
Na adui wa taifa ni Kila mmoja asiyesema ukweli wa madhila yaliyolikumba na yanalolikumba taifa Kwa maslahi yawaye yote kwa manufa binafsi au ya kundi lake🤔.
 
Tupe ushahidi wako wa kuhusika kwao kwenye escrow, kagoda na EPA!

Alafu tupe ushahidi wako pia wa Mahakama uliyowapeleka na hukumu iliyotolewa
 
Nafikiri Magufuli angekuwa kweli anakerwa na uhuni wa baadhi ya wana CCM, angeliruhusu mabadiliko ya katiba ili "mifumo" bora isije kuwarudisha tena waibia taifa!

Lkn yeye alikuwa anajitengenezea uungu mtu, ili aonekane yeye tu ndie anaweza! Ndio maana kwakwe wabaya na wazuri wote alikuwa akuwashikisha adabu! Alikuwa mwovu tu
 
Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani.

Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma kama mlivyofanya wakati ule kupitia Epa, Escrow, Kagoda na ufisadi mwingi bila aibu.

Mlitaka hayati Magufuli awakubalie uhuni wenu kisa tu mlifanya kampeni basi mfanye ufisadi mnavyotaka?

Sasa hivi kila mtanzania anawafamu vizuri na ndio maana mnapanga safu yenu ili mfanye uhuni wenu vizuri.
View attachment 2170988
Alikerwa na uhuni gani?
Mbona yeye kaua, kuteka na kupoteza watu wengi sana? Mbona yeye kakwapua mahala kibao na watu waliohoji aliwatesa sana kama Prof Assad?
 
Team msoga wakiamka unalo... maana kila kinachoendelea kinaniridhisha JPM alirestishwa. Sio bahati mbaya hii. Namshukuru Mangula kunawa mikono.
Si ww na hata wengine hakuna anaejua ukweli. Sana utaishia kuhis na theory za uwongo na kweli.
Sitetei ila marehem aachwe kama alivyo apumzikea
 
Usicheze na wahuni,wamemuweka madarakani wao ,lakin jamaa akataka kuwageuka wahuni wa mjini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtu katoka bush anataka kishindana na wahuni wa mjini kitambo ...Sasa wakaamua kumpeleka mbinguni mapema ....!
 
Wasipokuja hapa CHAWA wa propaganda za kikejeli kuwa wewe ni "Sukuma gang", naomba nisisikike tena hapa JF.

Ujinga, maradhi, ufisadi, magonjwa na umaskini ni maadui wa maendeleo TZ, lakini CHAWA ni zaidi ya shetani kiuadui.
Sukuma gang mmetupiwa virago
 
Back
Top Bottom