Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Na adui wa taifa ni Kila mmoja asiyesema ukweli wa madhila yaliyolikumba na yanalolikumba taifa Kwa maslahi yawaye yote kwa manufa binafsi au ya kundi lake🤔.Wasipokuja hapa CHAWA wa propaganda za kikejeli kuwa wewe ni "Sukuma gang", naomba nisisikike tena hapa JF.
Ujinga, maradhi, ufisadi, magonjwa na umaskini ni maadui wa maendeleo TZ, lakini CHAWA ni zaidi ya shetani kiuadui.
Polee ndugu wa MarehemuNa adui wa taifa ni Kila mmoja asiyesema ukweli wa madhila yaliyolikumba na yanalolikumba taifa Kwa maslahi yawaye yote kwa manufa binafsi au ya kundi lake🤔.
Alikerwa na uhuni gani?Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani.
Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma kama mlivyofanya wakati ule kupitia Epa, Escrow, Kagoda na ufisadi mwingi bila aibu.
Mlitaka hayati Magufuli awakubalie uhuni wenu kisa tu mlifanya kampeni basi mfanye ufisadi mnavyotaka?
Sasa hivi kila mtanzania anawafamu vizuri na ndio maana mnapanga safu yenu ili mfanye uhuni wenu vizuri.
View attachment 2170988
Si ww na hata wengine hakuna anaejua ukweli. Sana utaishia kuhis na theory za uwongo na kweli.Team msoga wakiamka unalo... maana kila kinachoendelea kinaniridhisha JPM alirestishwa. Sio bahati mbaya hii. Namshukuru Mangula kunawa mikono.
Sukuma gang mmetupiwa viragoWasipokuja hapa CHAWA wa propaganda za kikejeli kuwa wewe ni "Sukuma gang", naomba nisisikike tena hapa JF.
Ujinga, maradhi, ufisadi, magonjwa na umaskini ni maadui wa maendeleo TZ, lakini CHAWA ni zaidi ya shetani kiuadui.
Umekata rufaaa au bado?Team msoga wakiamka unalo... maana kila kinachoendelea kinaniridhisha JPM alirestishwa. Sio bahati mbaya hii. Namshukuru Mangula kunawa mikono.