Mayor Slum
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 760
- 1,150
Kwa siasa za Tanzania amabazo sio za kistarabu kabisa yaani za uchafuzi naamini tunaenda kupata vikwazo vya uchumi ambavyo vitatuathiri hata watu wengine tusio na kosa sababu ya wajinga wachache
1 waraka wa Marekani uliotolewa leo umeenda sambamba kupwiga ban Mkuu wa Mkoa kwa hiyo Marekani mpaka sasa walikiwa wameshapaga haya yote kwa kutuangalia tangia zamani pia na swala la kabendera limechangia
2Leo ndio siku ambayo waraka wa Marekani umetoka sambamba na kupigwa ban Bashite pia kuzuiwa kwa bahati nasibu kwa wabongo
3 Tume huru ni mtego mkubwa sana kwa Tanzania ya sasa , yaani tukoshondwa tu kuandaa uchaguzi vizuri na kuviruga ucjaguzi Mwaka huu vikwazo vya uchumi ndio vinatuhusu tutakosa misaada kabisa hapa Bongo
Na hilo ndio lengo lao
Pia sisi Tanzania wajuaji sana eti tunaenda kupogania zimbabwe iondelewe vikwanzo huku sisi hatujasitarabika Tuwe makini
Wanatuwinda hapa sasa watupe vikwanzo vya uchumi
TUFANYE UCHAGUZI UHURU NA WA HAKI
PIA TUWE NA TUME HURU YA UCHAGUZI
Sent using Jamii Forums mobile app