tusipuuze jambo hili hapa

Cyprian shayo

Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
17
Reaction score
0
tangu juzi nilifunguka wazi kuwa nahitaji girlfrind.mbona imepuuziwa.contact 0782050530
 
Hawa warembo wana mambo wewe!
Hebu wewe mvae mmojawapo kwa PM ....ukiwasemeshea huku hazarani wanaona soni!:lol::lol:
 
hujasema hata wewe ukoje
na unataka mwenza yukoje

sema basi ili nikutulize, twende huko bichi upepo unakovuma.
 
heee!mbona kama command jamani!weka sifa zako na za umtakaye na email address,otherwise msubiri aliye desperate asiyejua anahitaji mtu wa aina gani abahatishe kwako!
 
heee!mbona kama command jamani!weka sifa zako na za umtakaye na email address,otherwise msubiri aliye desperate asiyejua anahitaji mtu wa aina gani abahatishe kwako!

hahahah atakuwa mkurya huyu,na hapa sijui km atapata mtu tone yake imeonyesha ukali,mwishowe kaka wa watu atakuwa confused akidhani wadada hawampendi....kumbe anakosea kitu kidogo tu lol
 
hahahah atakuwa mkurya huyu,na hapa sijui km atapata mtu tone yake imeonyesha ukali,mwishowe kaka wa watu atakuwa confused akidhani wadada hawampendi....kumbe anakosea kitu kidogo tu lol

Dah!yan utafikiri afande anamwamrisha mtuhumiwa!kumbe ni ishu ya mapnz!dah!anatakiwa awe mpole na awe amejitambua anataka nn kwa kuweka vigezo!
 
hahahah atakuwa mkurya huyu,na hapa sijui km atapata mtu tone yake imeonyesha ukali,mwishowe kaka wa watu atakuwa confused akidhani wadada hawampendi....kumbe anakosea kitu kidogo tu lol

We koma we! Hatuna mkurya anayeitwa SHAYO. Hii ni zile jamaa za kishumundu, mashati, mkuu, kibong'oto, tarakea, ambapo mademu zao nao wana matatizo ya kupatikana kiurahisi kama $$$$ zipo.
 
Unataka wadada humu JF..! Karibu wote wana wenyewe labda nanii....................!
 
Wewe usijali, keshafunguka upya. Hapa. Beep namba hiyo, mie nshamtumia tafadhali nipigie...
King'asti umenichekesha sana!
Mi ni Mod, nafanya kazi yangu. niliuliza hiyo ya mwanzi ili niunganishe threads zote mbili. :lol:
But because you want me to, na umesha nionesha mfano ngoja na mimi nimuombe anitumie vocha. lol :eyebrows:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…