tusipuuze jambo hili hapa

mkuu umetumia njia mkato sana..hebu refusha maelezo yako na tatie halua na asali hapo nyuki watatua
 
hahahah atakuwa mkurya huyu,na hapa sijui km atapata mtu tone yake imeonyesha ukali,mwishowe kaka wa watu atakuwa confused akidhani wadada hawampendi....kumbe anakosea kitu kidogo tu lol

Neema umenena, huyu ni wale WE MAMA RHOB'HI GEUKIA HUKU au HII KITU NATAKA MESA MWENSA MWENSAKE.
 
ukishafunguka na kufanikiwa nijulishe na mimi nimwage minamba kwa style hii ya kwako. Nimeamini kila kidume ana style yake ya kutongoza, ya kwako nimeikubali kaka, wenzako huwa tunabembeleza hadi machozi!!!
 
mkuu umetumia njia mkato sana..hebu refusha maelezo yako na tatie halua na asali hapo nyuki watatua

Wanawake watamwelewa!Na atakaemhitaji mengine atayajua hukohuko!
 
naweza kubembeleza lakn nkawa naigiza.chamsingi jitose majini ujue ukubwa wa mawimbi
 
0762324935 tokin abt humble jaman mwenzenu ninaitwa nanii nasoma chuo cha nanii hapa dom bt scan hukoo kwa wameru ni kijana nina umri wa 75.im virgin sory penisia.nacheza sana kikapu afu napenda sana miziki ya kwa wenze2.nahitaji m2 wa kuchat naye facebuk,qeep,mocospace,twitter,jf,mig kwa mambo mbalimbali kwa sana.nichek kwenye namba hyo if u thnk u ready.bila kusahau 4 humans only.
 
hahahah atakuwa mkurya huyu,na hapa sijui km atapata mtu tone yake imeonyesha ukali,mwishowe kaka wa watu atakuwa confused akidhani wadada hawampendi....kumbe anakosea kitu kidogo tu lol

hebu mpe technique ambazo huwa wazungu wanazitumia kukupata. coz nasikia wewe na wazungu damdam sio kama TOM AND JERRY.
 
Kongosho dia hebu nielekeze kuandika ile tafadhali nipigie, nimrushie jamaa hapa. Naona mwaka unataka kuanza vizuri huu.
 
NiPM namba ya vocha lakini ya tshs 10000,ntakupigia sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…