Tutapata muda kujadili taarifa ya ripoti ya CAG. Lakini tusiache na kujisahaulisha kwamba Rais Samia ndiyo aliagiza ripoti iwe na uwazi zaidi ili serikali iweze kufanya maamuzi. Sasa tusije kuona kama vile haya ni ya ajabu ni kwamba ufisadi ulikuwa unaelezwa kwa mafumbo fumbo huko nyuma na sasa wanasema wazi pesa zimeibiwa.
Hivyo tujadili hoja bila kusahau hizi. Wizi Tanzania serikalini na kuongeza mikataba ni utamaduni mbaya ambao hata viongozi wa juu wanahusika. Ni lazima tusiwe wanafiki na kumpa .
Hongera Rais na kumpinga kwa hoja