Unamaanisha kuna nyakat report ya CAG ilikua haipew uwazi huo? Btw itakua vyema kama hatua stahiki zitachululiwa pamoja na jala lote warudishe hazina!!Tutapata muda kujadili taarifa ya ripoti ya CAG. Lakini tusiache na kujisahaulisha kwamba Raisi Samia ndiyo aliagiza ripoti iwe na uwazi zaidi ili serikali iweze kufanya maamuzi.
Sasa tusije kuona kama vile haya ni ya ajabu ni kwamba ufisadi ulikuwa unaelezwa kwa mafumbo fumbo huko nyuma na sasa wanasema wazi pesa zimeibiwa….
Hivyo tujadili hoja bila kusahau hizi. Wizi Tanzania serikalini na kuongeza mikataba ni utamaduni mbaya ambao hata viongozi wa juu wanahusika. Ni lazima tusiwe wanafiki na kumpa Hongera Raisi na kumpinga kwa hoja
Yule mwovu alikuwa anaiatamiaTutapata muda kujadili taarifa ya ripoti ya CAG. Lakini tusiache na kujisahaulisha kwamba Raisi Samia ndiyo aliagiza ripoti iwe na uwazi zaidi ili serikali iweze kufanya maamuzi.
Sasa tusije kuona kama vile haya ni ya ajabu ni kwamba ufisadi ulikuwa unaelezwa kwa mafumbo fumbo huko nyuma na sasa wanasema wazi pesa zimeibiwa….
Hivyo tujadili hoja bila kusahau hizi. Wizi Tanzania serikalini na kuongeza mikataba ni utamaduni mbaya ambao hata viongozi wa juu wanahusika. Ni lazima tusiwe wanafiki na kumpa Hongera Raisi na kumpinga kwa hoja
Huu ni ushuhuda mzuri sana kwamba nchi hii Rais ni kila kitu tena yeye ndiye Katiba, Sheria, Mhimili na mmiliki mkuu wanchi.Tutapata muda kujadili taarifa ya ripoti ya CAG. Lakini tusiache na kujisahaulisha kwamba Raisi Samia ndiyo aliagiza ripoti iwe na uwazi zaidi ili serikali iweze kufanya maamuzi.