johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Duh nimeingia chimbo ngoja tuoneHoja yako ndugu ni nzuri kwenye suala LA uchumi ila sikubaliani kama eneo LA nchi yetu ni kama ulivyo lielezea hapo juu.
Wajuvi wa mambo waje tusaidiane kujua ukubwa wa kila Taifa tajwa hapo juu.
Hoja yako ndugu ni nzuri kwenye suala LA uchumi ila sikubaliani kama eneo LA nchi yetu ni kama ulivyo lielezea hapo juu.
Wajuvi wa mambo waje tusaidiane kujua ukubwa wa kila Taifa tajwa hapo juu.ts
Musukuma ndo kaandika kiongoz na elimu yake si siriHoja yako ndugu ni nzuri kwenye suala LA uchumi ila sikubaliani kama eneo LA nchi yetu ni kama ulivyo lielezea hapo juu.
Wajuvi wa mambo waje tusaidiane kujua ukubwa wa kila Taifa tajwa hapo juu.
Kuna kitu wewe na watu wengi mnadhani ndiyo silver bullet ya matatizo yetu. Nyie mnadhani solution ni kuita wawekezaji kwa wingi. Hili mimi sikubaliani nalo hata kidogo.Nashangaa sana mama yetu kaenda hapo Kenya kufungua ukurasa mpya wa kiuchumi ila watu hoi kwa woga ooh tutaibiwa sijui nn na nn. Tutaendeleaje kwa woga wakijinga hvyo
Kama wenyewe tumeshindwa hats kutumia fursa hiyo kibiashara kilimo,ufugaji nk.Tunakumbushana tu kuwa Tanzania ina eneo kubwa kuzipita Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda tukiziweka pamoja
Tutumie fursa ya ukubwa wa eneo letu kulead uchumi wa Afrika ya mashariki, pamoja tutaweza.
Kazi Iendelee!
Miaka 60 hatjjaweza tujekuweza leo,huo utakuwa ni wivu na roho mbaya kisa wenyewe tumekuwa wazembe na wavivu.Kuna kitu wewe na watu wengi mnadhani ndiyo silver bullet ya matatizo yetu. Nyie mnadhani solution ni kuita wawekezaji kwa wingi. Hili mimi sikubaliani nalo hata kidogo...
Nashangaa kwamba watu hawaelewi Tanzania inachukua asilimia 52 ya eneo zima la E.A, yaani ukichanganya kenya, uganda, rwanda, burundi zina eneo la 48% pekee huku 52% zilizobaki likiwa ni eneo la Tanzania. Kwa hiyo utaona Tanzania inaweza single-handed kujenga uchumi imara na kuwa na ushawishi eneo zima la E.A bila kujipendekeza kwa lolote kenya...Tunakumbushana tu kuwa Tanzania ina eneo kubwa kuzipita Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda tukiziweka pamoja
Tutumie fursa ya ukubwa wa eneo letu kulead uchumi wa Afrika ya mashariki, pamoja tutaweza.
Kazi Iendelee!
Kwakuwa bado tuko usingizini bora waje wakutuzindua ili tuamke.Kiswahili huzaa uswahili
Aliyetuletea Lugha hii ya Kiswahili, ndiyo kasababisha haya yote...