macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ni kweli na najua. Hili linahitaji commitment ya hali ya juu sana ambayo pengine hatuna. Siyo viongozi kama kina Ndungai wataweza hili jambo. Lakini kama tumeshindwa hilo, wewe unafikiria la wawekezaji tutaweza? Tena ndiyo tutafeli kweli kweli. Uwekezaji siyo tu watu wenye mitaji kuja. Kuna zaidi ya hilo.Miaka 60 hatjjaweza tujekuweza leo,huo utakuwa ni wivu na roho mbaya kisa wenyewe tumekuwa wazembe na wavivu.
Sidhani kama mama ataruhusu wawekezaji ilimradi tu. Lakini sidhani hata hicho kilimo unachokiongelea kama unakijua vzuri mkuu. Mm ni miongoni mwa mkulima ninayelima wastani wa hekari zipatazo 50 kwa mwaka lakini kwa miaka ya magufuli hakikua kilimo chepesi kwangu mm na wakulima wengine.Kuna kitu wewe na watu wengi mnadhani ndiyo silver bullet ya matatizo yetu. Nyie mnadhani solution ni kuita wawekezaji kwa wingi. Hili mimi sikubaliani nalo hata kidogo...

Marais wao ndio waliotakiwa kuja Tanzania kujitambulisha Kwa mama..not the other way around... Magu alikua na downsides zake lakini katika kujimwambafai alikua top notch.Duh nimeingia chimbo ngoja tuone
Tanzania Km² 945,000
Kenya Km² 580,000....
Kuwa na nchi kubwa sio kila kitu duniani, wacha nikupe mfano wa karibu. Kenya ni nchi ndogo sana, sisi hatuna zile rasilimali ambazo nyinyi mlibarikiwa nazo.Marais wao ndio waliotakiwa kuja Tanzania kujitambulisha Kwa mama..not the other way around... Magu alikua na downsides zake lakini katika kujimwambafai alikua top notch.
Kuna kipindi strategy ya kujiona fahari inasaidia sana. we should be a donar kantri..sio kuomba SULUHU Kirahisi, tuna hips na makalio makubwa, tutembee Kwa madaha na tusikalie uchumi.
Watz wengi ni wazembeNashangaa sana mama yetu kaenda hapo Kenya kufungua ukurasa mpya wa kiuchumi ila watu hoi kwa woga ooh tutaibiwa sijui nn na nn. Tutaendeleaje kwa woga wakijinga hvyo
Nimekuelewa!Watz wengi ni wazembe
Matumaini hewa, baada ya kipindi chake uje utoe mrejesho kama ulipelekwa angani au ardhini.Kuna mijitu mioga humu mpaka unaionea hutuma,tutaogopa Hadi lini? Wakenya kwa sasa wanatuhofia Sana speed yetu inawatisha lakini sisi hatutaki kujiamini kwa makisudi tu hatutaki kujitambua kuwa tumekuwa tunapaswa tutoke tukapambane.
Samia tichukue utupeleke angani na UTUACHIE, Mwenye kupaa apae mzembe afiche mbawa zake mwache adondoke.