Tusishangae kesho Wabunge wakitumia muda mwingi kuipongeza Simba SC "Mnyama"

Tusishangae kesho Wabunge wakitumia muda mwingi kuipongeza Simba SC "Mnyama"

Natoa tu angalizo kwa sababu hii nchi tunaendeshwa kwa matukio

Niliposoma Mabosi wa Simba na Yanga wamepiga picha ya pamoja futarini Ikulu nikajua tayari Wana jambo lao

Hongera sana Makolo FC
Muda huo watakuwa na Mikia au?

Hata hivyo ni haki yao wafurahi, haiwezekani ubingwa uende kwa wapinzani afu utangaziwe kwetu Mbumbumbu, nimekaa pale.
 
Simba 2 vs yanga 0

Dkk 90 zimeisha mkafanye kz ss...
 
Natoa tu angalizo kwa sababu hii nchi tunaendeshwa kwa matukio

Niliposoma Mabosi wa Simba na Yanga wamepiga picha ya pamoja futarini Ikulu nikajua tayari Wana jambo lao

Hongera sana Makolo FC
Wangeshinda Yanga usingeleta huu Utopolo wako,una nongwa sana kama demu akiyepigwa kibuti
 
Back
Top Bottom