Tusishangae kesho Wabunge wakitumia muda mwingi kuipongeza Simba SC "Mnyama"

Atashukuriwa mwenyezi Mungu
Itashukuriwa familia
Atashukuriwa Mama
Atashukuriwa philipo Mpango
Atashukuriwa Majaliwa
Atashukuriwa Spika
Atashukuriwa naibu waziri
Atashukuriwa katibu mkuu wa wizara
Itashukuriwa wizara nzima staff
Atashukuriwa Tena Mama Kwa sababu Ameboresha michezo
Atashukuriwa Mama Kwa ajili matokeo ya Simba
Halafu atasema tumsaidie mama kazi iendelee
Halafu ataunga mkono Hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…