Tusisikie tena stories za Manzoki. Mkome

Tumia akili hata ile kdg uliyonayo basi Manzoki atakuwa nje ya uwanja kwa miez minne akiuguza majeraha iv unamsajir mtu wa ivyo na hauna striker? Tumia akili dogo
 
Kwani mchezaji wa mkopo hawezi kuwa wa gharama kubwa kuliko wa manunuzi? Nimekupa mfano wa Feisal na Tuisila
Nikupe mfano wa Juao Felix kwenda Chelsea imewagharimu Chelsea Euro million 9 lakini wangetaka mnunua ingewagharimu zaidi ya Euro million 70.

Baleke anaonekana ana mkataba wa miaka 3 bado na Tp mazembe na mazembe hawaweki Release clause ya kitoto kuvunja mkataba wake panahitajika pesa ndefu.
 
Nimekwambia kwamba kuchukua kwa mkopo is not necessarily cheaper kuliko kununua, inategemea na hali nyingine pia. Kwani huoni Yocouba Sogne ametolewa bure? Lakini huyo huyo angetafutwa na timu moja siku tatu zilizopita huenda angeuzwa hadi kwa 100M. Biashara za wachezaji zinabadilika sana kulingana na kiwango cha mchezaji na timing ya kumuuza au kumtoa mkopo
 
Mmezoea. Mlivokosa haya mtaanza tena tetesi za huyo mtu kutua Simba. Nashauri mkome kabisa. Mnachafua sana mitandao kwa tetesi magadi wakati hela hamna. Mkome

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Kwani hizo yetesi hutoka kwa viongozi wa simba au wachambuzi na bloger mchongo?
 
Zitasikika tu labda ufe ndio pona yako nyani wewe
 
Hata hueleweki unaongelea nini? Nimekujibu swali kwa jinsi ulivojibu usichanganye mambo ishu ya Yacouba sogne imeingiaje sasa hapo
 
Na nyie tusikie tena stori za Miquesone au za Bobosi....tutawachomoa huo mwiko huko nyuma!
 
Mmmmmh bado mnataka. Rage atakumbukwa kwakweli

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…