Tusisubiri Sana Misaada Ya Serikali....Taratibu Tutafika!

Kisura

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2007
Posts
364
Reaction score
26

Source: BusinessWeek
Wachovia Corp(WB): News & Press Releases
 
Asilimia kubwa ya Watanzania hawailalamikii Serikali kwa kutowapa misaada.Wanacholalamikia ni HAKI YAO KAMA TAXPAYERS WHEN THEIR GOVT FAILS TO DELIVER wanachostahili.
 
Tatizo la waTZ tunasubiri serikali ilete maendeleo, na hata kidogo serikali itakachowaletea matunzo hamna.
Sitashangaa, akirudi na kukuta hakuna maji kwani pampu zilishaibiwa siku nyingi, na hakuna fungu lililotengwa la kununua nyingine, hadi wafadhili wanunue.

Bado tunasafari ndefu ya kuwafanya wananchi waparticipate, wawe creative na waweze kubuni miradi yao muhimu na kuilazimisha/ kuifanya serikali ya wilaya/mkoa kupitia kwa 'wabunge wao'kutekeleza.

Tutabakia na kusubiri wafadhili waje watupandie miti, wachimbe vyoo vya shimo n.k

Hope huyo kaka 'hanalengo lakugombea ubunge huko mbeleni'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…