Tusitegemee jipya kwa Ally Mayai

waliocheza mpira ndio wauongoze mpira,,, waliokaa ofisini wakaongoze ofisi.. na waliosoma sana na kushinda vyuoni wakaongoze vyuo..... wasomi wanataka kuongoza mpira huku hata dana dana mbili kupiga hawawezi,,, starz ilifungwa 7-0 tunasaka mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…