Tusivute wakati mnapokea ushuru wa Rizzla!

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,191
Reaction score
8,490
kuna wimbo wa jamaa mmoja Kala jere100 ""waambieni'' huku mnasema tusivute wakati mnapokea ushuru wa rizzla. na mimi naomba kuuliza hizi karatasi za rizzla zina matumizi gani mengine tofauti na kusokotea bangi, maana huku mtaani maduka mengi tu yanauza hizi rizzla. na kama hayana matumizi mengine tofauti kwa nini yanaingizwa nchin au kama yanatengenzwa nchin kwa nini wasikatazwe wanaoyatengeneza?
 
Tumbaku.
 
Bora wa2ache wachomaji 2ungue kwa amani kuliko kumgombeza mdogo wako akitongozwa wakati unatongoza wa wenzio
 
Back
Top Bottom