kuna wimbo wa jamaa mmoja Kala jere100 ""waambieni'' huku mnasema tusivute wakati mnapokea ushuru wa rizzla. na mimi naomba kuuliza hizi karatasi za rizzla zina matumizi gani mengine tofauti na kusokotea bangi, maana huku mtaani maduka mengi tu yanauza hizi rizzla. na kama hayana matumizi mengine tofauti kwa nini yanaingizwa nchin au kama yanatengenzwa nchin kwa nini wasikatazwe wanaoyatengeneza?