Tusiwabeze waganda. Tuwashukuru na sasa Tuanze kujipanga Serious kwa Afcon yenyewe

Ile mechi kama Stars tusingetoka na Ushindi bas hata Uganda wenyewe wangetushangaa sana.
 
Unafaham kiswahili vizuri? Unafaham maana ya kuomba? Sasa mbona wewe ulisema kuwaomba?mimi nmeandika kuwaomba sehemu yoyoye? Huoni kama unanilisha maneno au una elewa mbaya?
Aaaarggghhh ujumbe umefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…